Ktk habari ambayo imenisikitisha ni hii ya dan!Kucheza na stricker mmoja ni shida sn toka BR amekuja.Kwangu mimi ni 1 ya sababu tulikosa ubingwa last season,Kuna game dan alicheza peke yake bila suarez na viceversa na niliteseka sn hendo alipopata straight red card(v man c)tulimmiss sn sana sana ktk chel game!Niliona kaz ya song wkt tunacheza na w ham,alikuja kutembea na sg muda wote so hakukuwa na long ball hata 1,Hofu yangu sasa ni itakuaje km hendo anapata injury,redcard au akawa out of form?Mungu atuongoze ktk wkt huu mgumu
STURRIDGE out for another Month, will miss another 7 GAMES!!!!
And we bought Lambert for this SHIT!!!
We're totally ----ED!!!

Maskini Dan....already has had bad season.....woow.....kesho sitoangalia game yetu na QPR.
Worry not KOPS bila Dan tunampiga QPR kiurahisi kabisa!Hatumuhitaji Dan kumpiga QPR wala ajaye Hull City
usisahau kuna double header na akina CR7 hapo kati
Wee jamaa,ujue kingereza chako huwa sikielewi kbs,sijui ni mimi tu?? Wadau nyie huwa mnakielewa hiki kizungu cha Janjaweed?
QPR mtawafunga, ila kw Hull City sahau!" mkiwafunga nidai million ..........Worry not KOPS bila Dan tunampiga QPR kiurahisi kabisa!Hatumuhitaji Dan kumpiga QPR wala ajaye Hull City
QPR mtawafunga, ila kw Hull City sahau!" mkiwafunga nidai million ..........
Grand PA
Sifungwi na Hull City popote pale mwaka huu!Sifungwi tena EPL hata Chelsea namnyuka
Imbombo jilipo.....!
Hahahaaaaa..! Yani wewe bila kuitaja timu makini Chelsea husikii raha kabisa...!???
Mm nakufunga wewe msimu huu!Hauna team na back lines yako ipo very exposed!
Cahil na Terry nawafunga kiurahisi