Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mpra mchezo wa maajabu sana magoli 5 yamefungwa dakika ambazo wengi hatukutegemea!
 
Du mungu mkubwa!

BR anabeba lawama kwa perfomance yetu leo kipindi cha kwanza!Majogoo tunahitaji formation kama kipindi cha pili hasa alipo ingia Coutihno na Allen

SG amuache kwa nyuma ndiyo awe anaanzisha kama alivyokuwa anakuja kipindi cha pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…