Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

BRENDAN RODGERS is SHIT!

LIVERPOOL BACK-FOUR is STILL SHIT

4-3-21 FORMATION is SHIT..

Ts gonna be a looooooong season!

Hii formation ni ngumu kwetu hata balo alikiri anapenda kucheza with another striker mbele kuliko kuwa peke ake na leo kathibitisha ivo baada ya kukosa magoli ya wazi kabisa
 
BR ni kocha wa ajabu sana...anatakiwa ajue kuwa MB siyo SUAREZ..
 
Benitez wakat anaondoka LFC, alikuwa kishazinguana na SG kwa sababu ya perfomance mbaya ya team mwaka 2009/2010, SG haumii tu kama Mchezaji pia anaUmia Kama sisi Mashabiki coz nae ni shabiki wa LFC...

Asa kwa mtindo huu, naona SG anaona kabisa team inacheza upuuzi..na ts not about playerz ni kocha na mifumo yake tu..kwanini mpaka leo haoni kuwa 4-3-2-1 ni formation ya kijinga sana? Imemletea mafanikio gan tangu ameanza kuitumia this season??..

Raheem can play uptop with Balo..Mario hawez kucheza kama lone ST..Man city alikuwa anacheza pamoja na Tevez au Aguero, the same kwa Inter na Milan...asa bado unang'ang'aniza kucheza na ST mmoja Mbele...hyo formation hata Sturridge huwa inam-sumbua sana!!

Mario hana akili, ana nguvu, mbio na bahati, na mpira wa LIverpool unahitaji akili zaidi... balo angeng'aa zaidi kama angekua westham au stoke
 
Baada ya kina PC kuingia!!! Ambao walitumia individual skills zao kuwin game ya leo..taktks za BR zilikuwa zishafail!!!
With surridge upfront, things will change but i think BR needs to give Sterling chance ya kuwa center forward as well

Huyu kiduku amekua hovyo kabisa
 
Tatizo BR huwa nahisi hataki kushaurika kabisa...... Leo alivyozingua Balo next match utakuta anamuweka Lambert alone hahaha.....
I got sick now days

Bench la ufundi umezungukwa na kina poscoe na Marsh..utapata vipi ushauri wa maana...si tuliopo Tz huku tunaona kabisa kuwa team inacheza upuuzi..lakin yeye yupo uwanjani anashindwa kuona ujinga ambao team inacheza...hyo formation yake ya kipuuzi akiiweka dhidi ya Madrid itakuwa ni AIBU kubwa sana!!!!!

Afu kitu kingine ni defense..me najiulizaga huyu jamaa huwa anawafundisha nini hawa mabek kwenye training????..mbona Daglish alikubali kuwa na kocha wa mabeki (clarke) ye anasubiri nini?? Kila siku tunafungwa silly goals tu...

Najua ntakuwa nawaumiza sana BR fans humu ndani, But ukweli ni kwamba Maamuzi ya BR huwa yanatucost sana..na usije ukashangaa J5 akataka kushambulia zaid ili tu Amfunge Anchelot na kesho yake aandikwee weeee kwenye medias...na akijifanya kushambulia sana, Itatukuta aibu ile ya Bayern last season...RMA watakuwa wanadeal na counter Attack tu...na beki yenyewe ndo hii...

Ila ndo tutafanyaje sasa....
 
Mario Baloteli has made every center half aliyecheza nae kuonekana jembe... He is a total waste, sijui kwanini kacheza 90 minutes leo
 
Benitez wakat anaondoka LFC, alikuwa kishazinguana na SG kwa sababu ya perfomance mbaya ya team mwaka 2009/2010, SG haumii tu kama Mchezaji pia anaUmia Kama sisi Mashabiki coz nae ni shabiki wa LFC...

Asa kwa mtindo huu, naona SG anaona kabisa team inacheza upuuzi..na ts not about playerz ni kocha na mifumo yake tu..kwanini mpaka leo haoni kuwa 4-3-2-1 ni formation ya kijinga sana? Imemletea mafanikio gan tangu ameanza kuitumia this season??..

Raheem can play uptop with Balo..Mario hawez kucheza kama lone ST..Man city alikuwa anacheza pamoja na Tevez au Aguero, the same kwa Inter na Milan...asa bado unang'ang'aniza kucheza na ST mmoja Mbele...hyo formation hata Sturridge huwa inam-sumbua sana!!

Hili suala la Sterling kucheza kama centre forward nili-raise jana baada ya kusikia injury set back ya Sturridge. Nadhani we can't continue relying on an injury prone player like him. See my yesterday's post below..

It's now easy to see why Man City & Chelsea bought him (Sturridge) and then sold him, isn't it??

We need pace upfront....so BR needs to build his strike force around Sterling now and make the most of his strengths. Make him an out-and-out striker.
Nakumbuka Wenger alifanya hivo kwa Walcott and the boy started scoring crucial goals for the team but his exploits were eventually hampered by injury, but Sterling is much fitter and stronger.

My opinion about Mario is well documented on this forum right from the outset. He's one big liability, a mere "political" signing which BR appears to have been pressured up against.

Infact Sterling anaweza kuja kuwa kama Thiery Henry (achilia mbali Walcott niliyemtaja hapa juu) kwani naye alianza kama wing midfielder, the rest is history.
 
Bench la ufundi umezungukwa na kina poscoe na Marsh..utapata vipi ushauri wa maana...si tuliopo Tz huku tunaona kabisa kuwa team inacheza upuuzi..lakin yeye yupo uwanjani anashindwa kuona ujinga ambao team inacheza...hyo formation yake ya kipuuzi akiiweka dhidi ya Madrid itakuwa ni AIBU kubwa sana!!!!!

Afu kitu kingine ni defense..me najiulizaga huyu jamaa huwa anawafundisha nini hawa mabek kwenye training????..mbona Daglish alikubali kuwa na kocha wa mabeki (clarke) ye anasubiri nini?? Kila siku tunafungwa silly goals tu...

Najua ntakuwa nawaumiza sana BR fans humu ndani, But ukweli ni kwamba Maamuzi ya BR huwa yanatucost sana..na usije ukashangaa J5 akataka kushambulia zaid ili tu Amfunge Anchelot na kesho yake aandikwee weeee kwenye medias...na akijifanya kushambulia sana, Itatukuta aibu ile ya Bayern last season...RMA watakuwa wanadeal na counter Attack tu...na beki yenyewe ndo hii...

Ila ndo tutafanyaje sasa....

BR needs a coach wa defense, he has not idea kudefend ni nini... we have tall, athletic defenders lakini kwenye freekicks vinakua kama mkusanyiko wa sterling, michael owen, Shawn wright phillips na Kevin Hart

Some of teh blames we lay to the goalkeeper are surely defensive mistakes kuanzia namba mbili hadi namba sita

BR has to change and accept his limits kwenye hii kazi
 
Kazi tunayo,nawaza jtano itaamukaje

Aisee Christina Ronaldo anaweza akapiga vingine vitatu ajibebee mpira. Beki ya LFC inanitia mashaka na kunipandisha presha. BR asipangalia RM inaweza kujiwekea historia Anfield.... Mungu apitishe mbali.
 
Bench la ufundi umezungukwa na kina poscoe na Marsh..utapata vipi ushauri wa maana...si tuliopo Tz huku tunaona kabisa kuwa team inacheza upuuzi..lakin yeye yupo uwanjani anashindwa kuona ujinga ambao team inacheza...hyo formation yake ya kipuuzi akiiweka dhidi ya Madrid itakuwa ni AIBU kubwa sana!!!!!

Afu kitu kingine ni defense..me najiulizaga huyu jamaa huwa anawafundisha nini hawa mabek kwenye training????..mbona Daglish alikubali kuwa na kocha wa mabeki (clarke) ye anasubiri nini?? Kila siku tunafungwa silly goals tu...

Najua ntakuwa nawaumiza sana BR fans humu ndani, But ukweli ni kwamba Maamuzi ya BR huwa yanatucost sana..na usije ukashangaa J5 akataka kushambulia zaid ili tu Amfunge Anchelot na kesho yake aandikwee weeee kwenye medias...na akijifanya kushambulia sana, Itatukuta aibu ile ya Bayern last season...RMA watakuwa wanadeal na counter Attack tu...na beki yenyewe ndo hii...

Ila ndo tutafanyaje sasa....
Hahaaaa....mkuu sijacheka kwa furaha bali huzuni maana wakidili na counter attack kuna beki gani wa kufukuzana na Bale? Nani wa kudeal na CR

Jana Lovren alipata tabu Sana kumkaba Zamora alipotoka akaingia Vargas akahisi atapumua ndipo tukafungwa..... sad

Kwa backline hii ya Johnson, lovren na Enrique sijui maana kidogo Jana Skrtel alionesha umakini wa kulibeba jahazi

Nahisi kujipa likizo ya muda kwenye uefa
 
Tangu Lovren ananunuliwa me nilijua na nilisema humu,it was a political buy! Tulikuwa na CB wanne aina ya Lovren,alikuwepo Sakho,Ilori,Agger na Toure,upande wa pili alikuwepo Skirtel na Coates. Lovren hakuhitajika kabisa...tulihitaji strong CDM,na mtu wa uhakika wa kufukia fukia mashimo aliyoacha Suarez.
 
BR buys,Lovren,Sakho,Ilori,Origi,Allen,Asaidi,Lambert,Moses,Cissokho,Markovic,Aspas,Mignolet,Luis Alberto,Baloteli,Borini,Sturidge,Coutinho,in exception of Coutinho and Sturidge,the rest have done NOTHING to our team!! But angalia kwa hawa aliowakuta,Agger,Reina,Lucas,SG,Suso,Sterling,Hendo,Skirtel,Suarez,Teixeira,hata GJ,Enrique, ndo wamekuwa wanaisaidia timu kiukweli,NOW you can imagine yourself if we are really having a Football Manager.
 
Back
Top Bottom