Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
BR anabeba lawama kwa perfomance yetu leo kipindi cha kwanza!Majogoo tunahitaji formation kama kipindi cha pili hasa alipo ingia Coutihno na Allen
SG amuache kwa nyuma ndiyo awe anaanzisha kama alivyokuwa anakuja kipindi cha pili

Hongera bro leo mambo yenu super!!
Kweli we shabiki kipindi kile world cup nilijua upo kwenye "world cup fever"
Hongera
BR anashangilia kimya kimya cjui kwanini tu!
Aisee miss u much!!! Asante sana,mi Man u bana,kama unatembelea kule ndo utanikuta sana,na mara chache kwa watani wangu Arsenal. Vip wewe ni Liver?
Aisee miss u much!!! Asante sana,mi Man u bana,kama unatembelea kule ndo utanikuta sana,na mara chache kwa watani wangu Arsenal. Vip wewe ni Liver?
Mis u too..... yaah ni Liverpool kuanzia blood hadi skeleton...... nitapita kesho kukusalimia, sijui mmejiandaaje...?
Pole sana kushangilia ugonjwa wa moyo!Mwaka huu nakupiga kote kuwili
Baada ya msoto wa muda mrefu now tuko vizur kesho ntakuwa juu yako kwenye msimamo wa ligi, kumbe basi pongezi hizi zikufikie na wewe,ila mnatakiwa mkaze kiuno bado si njema.
Liverpool captain Steven Gerrard: "We're still in shock to be honest. We were very lucky today. We'd have no complaints if we came away with nothing. Our performance needs to be better. It was very bitty, stop-start, the only credit we can give ourselves is that we never gave up. All around it needs improving.
"We're going to go away really happy, but the big picture, moving forward, is that we've got to improve. Football is a strange game at times and I'm sure all the QPR players and Harry Redknapp are in shock as well. We've conceded two sloppy goals. We're coming up against the best side in Europe in the next week so we need to address that."