Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
BRENDAN RODGERS is SHIT!
LIVERPOOL BACK-FOUR is STILL SHIT
4-3-21 FORMATION is SHIT..
Ts gonna be a looooooong season!
Hii formation ni ngumu kwetu hata balo alikiri anapenda kucheza with another striker mbele kuliko kuwa peke ake na leo kathibitisha ivo baada ya kukosa magoli ya wazi kabisa
Benitez wakat anaondoka LFC, alikuwa kishazinguana na SG kwa sababu ya perfomance mbaya ya team mwaka 2009/2010, SG haumii tu kama Mchezaji pia anaUmia Kama sisi Mashabiki coz nae ni shabiki wa LFC...
Asa kwa mtindo huu, naona SG anaona kabisa team inacheza upuuzi..na ts not about playerz ni kocha na mifumo yake tu..kwanini mpaka leo haoni kuwa 4-3-2-1 ni formation ya kijinga sana? Imemletea mafanikio gan tangu ameanza kuitumia this season??..
Raheem can play uptop with Balo..Mario hawez kucheza kama lone ST..Man city alikuwa anacheza pamoja na Tevez au Aguero, the same kwa Inter na Milan...asa bado unang'ang'aniza kucheza na ST mmoja Mbele...hyo formation hata Sturridge huwa inam-sumbua sana!!
BR ni kocha wa ajabu sana...anatakiwa ajue kuwa MB siyo SUAREZ..
BR ni kocha wa ajabu sana...anatakiwa ajue kuwa MB siyo SUAREZ..
Mario hana akili, ana nguvu, mbio na bahati, na mpira wa LIverpool unahitaji akili zaidi... balo angeng'aa zaidi kama angekua westham au stoke
Kipindi cha pili tulikuja vyema sana lkn!BR bado nina imani nae
With surridge upfront, things will change but i think BR needs to give Sterling chance ya kuwa center forward as wellBaada ya kina PC kuingia!!! Ambao walitumia individual skills zao kuwin game ya leo..taktks za BR zilikuwa zishafail!!!
Tatizo BR huwa nahisi hataki kushaurika kabisa...... Leo alivyozingua Balo next match utakuta anamuweka Lambert alone hahaha.....
I got sick now days
With surridge upfront, things will change but i think BR needs to give Sterling chance ya kuwa center forward as well
Huyu kiduku amekua hovyo kabisa
Na mimi nlikuwa nawaza hivyo hivyo..Raheem ajaribiwe kucheza kama Centre foward!!!!
Benitez wakat anaondoka LFC, alikuwa kishazinguana na SG kwa sababu ya perfomance mbaya ya team mwaka 2009/2010, SG haumii tu kama Mchezaji pia anaUmia Kama sisi Mashabiki coz nae ni shabiki wa LFC...
Asa kwa mtindo huu, naona SG anaona kabisa team inacheza upuuzi..na ts not about playerz ni kocha na mifumo yake tu..kwanini mpaka leo haoni kuwa 4-3-2-1 ni formation ya kijinga sana? Imemletea mafanikio gan tangu ameanza kuitumia this season??..
Raheem can play uptop with Balo..Mario hawez kucheza kama lone ST..Man city alikuwa anacheza pamoja na Tevez au Aguero, the same kwa Inter na Milan...asa bado unang'ang'aniza kucheza na ST mmoja Mbele...hyo formation hata Sturridge huwa inam-sumbua sana!!
It's now easy to see why Man City & Chelsea bought him (Sturridge) and then sold him, isn't it??
We need pace upfront....so BR needs to build his strike force around Sterling now and make the most of his strengths. Make him an out-and-out striker.
Nakumbuka Wenger alifanya hivo kwa Walcott and the boy started scoring crucial goals for the team but his exploits were eventually hampered by injury, but Sterling is much fitter and stronger.
My opinion about Mario is well documented on this forum right from the outset. He's one big liability, a mere "political" signing which BR appears to have been pressured up against.
Mario Baloteli has made every center half aliyecheza nae kuonekana jembe... He is a total waste, sijui kwanini kacheza 90 minutes leo
Bench la ufundi umezungukwa na kina poscoe na Marsh..utapata vipi ushauri wa maana...si tuliopo Tz huku tunaona kabisa kuwa team inacheza upuuzi..lakin yeye yupo uwanjani anashindwa kuona ujinga ambao team inacheza...hyo formation yake ya kipuuzi akiiweka dhidi ya Madrid itakuwa ni AIBU kubwa sana!!!!!
Afu kitu kingine ni defense..me najiulizaga huyu jamaa huwa anawafundisha nini hawa mabek kwenye training????..mbona Daglish alikubali kuwa na kocha wa mabeki (clarke) ye anasubiri nini?? Kila siku tunafungwa silly goals tu...
Najua ntakuwa nawaumiza sana BR fans humu ndani, But ukweli ni kwamba Maamuzi ya BR huwa yanatucost sana..na usije ukashangaa J5 akataka kushambulia zaid ili tu Amfunge Anchelot na kesho yake aandikwee weeee kwenye medias...na akijifanya kushambulia sana, Itatukuta aibu ile ya Bayern last season...RMA watakuwa wanadeal na counter Attack tu...na beki yenyewe ndo hii...
Ila ndo tutafanyaje sasa....
Kazi tunayo,nawaza jtano itaamukaje
Hahaaaa....mkuu sijacheka kwa furaha bali huzuni maana wakidili na counter attack kuna beki gani wa kufukuzana na Bale? Nani wa kudeal na CRBench la ufundi umezungukwa na kina poscoe na Marsh..utapata vipi ushauri wa maana...si tuliopo Tz huku tunaona kabisa kuwa team inacheza upuuzi..lakin yeye yupo uwanjani anashindwa kuona ujinga ambao team inacheza...hyo formation yake ya kipuuzi akiiweka dhidi ya Madrid itakuwa ni AIBU kubwa sana!!!!!