Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool wanaujua mpira!Jamani team hii imeanza ku click!

Hata kama nafungwa hapa nimeonyesha soka jamani

Hahaha,mapema hii Nachokupendea kaka yangu we mzee wa kujifagilia kweli kweli subir bro....
 
Oo semeni jingine, lakini sio Ronaldo hajawahi kufunga goli Anfield.
 
Mpira umegeuka. Jamaa wajanja. Walikuwa wanasoma vijogoo kwanza
 
Maanin kwa refa, maanin kwa beki ya Liverpool, maanin kwa BR na maanin kwa madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…