Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ronaldo amefikia Record ya goal 71 ya All time UEFA Champions League goal scorer ambayo ilikuwa inashikiliwa na Raul Gonzalez Blanco ambaye naye ana goli 71. Akiongeza hapo anavunja record

Dogo yupo vizur anastahili pongezi ngoja Man U tuvunje kibubu tumchukue na hizo dolali 800m zinazohitajika atatusaidia......
 
Mashabiki wa Liverpool bana hawana cha kushangilia, wamebaki eti buuuu, kama wako kwenye fiesta leaders club. Waliambiwa mapema leo ngoma ngumu hii.
 
Goli zote 3 ni ubovu wa beki zetu za kati!Sakho sasa aanze kucheza

Hawa tuliwadhibiti kabisa

Mliwadhibitii? Labla kudhibiti kuna maana nyingine, jamaa wanacheza wanavyotaka, wanashambulia at will, wametawala possession halafu unasema mmewadhibiti?
Mpira mpaka ufike kwa mabeki ina maana watu wote wa mbele wanacheza hovyo, ukiacha goli la kona magoli yote ni ubovu wa kiungo yenu.
 
Dogo yupo vizur anastahili pongezi ngoja Man U tuvunje kibubu tumchukue na hizo dolali 800m zinazohitajika atatusaidia......

Yupo vizuri sana. Ila record yake itavunjwa na Messi maana Messi ni mdogo kwa CR7 so bado ana miaka mingi ya kucheza coz messi nae anagoli 69 now.
 
Ronaldo amefikia Record ya goal 71 ya All time UEFA Champions League goal scorer ambayo ilikuwa inashikiliwa na Raul Gonzalez Blanco ambaye naye ana goli 71. Akiongeza hapo anavunja record

Bado hajafika mkuu ana 70 Raul 71 huku ---- messi 69
 
HT.
LFC 0 Ancelloti 3

Ni wakati sasa kwa BR kumpigia simu Rafa Benitez kwa ajili ya Istanbul-esque HT team talk ili magoli yarudi na ikiwezekana ushindi wa 4-3 au 5-3 au 6-3.

Shove the ego BR, go ahead and call Rafa, the master of Europe. And fast...
 
FSG wasipochukua hatua kwa BR, Top four tutaisikia tu!!
 
Dah! Loserfools wanatia huruma….leo watashushiwa mvua ya magoli…ndiyo shida ya minnows kung'ang'ania kucheza ligi za wakubwa...
 
Bado hajafika mkuu ana 70 Raul 71 huku ---- messi 69

Alikuwa na 70 kabla ya mechi ya leo. So kafunga kafikisha 71. Messi jana ndio kafikisha 69 baada ya kufunga goli 1. Ndo hivyo mkuu. Kama umeangalia sasa ujue bado hawaja update goli la leo. Subiri kama atafunga la pili uone atakavyoshangilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…