Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka Istanbul 2005. Na alikuwa ni Anceloti huyu huyu..Kama mpira maajabu basi tutayaona leo
Kumbuka Istanbul 2005. Na alikuwa ni Anceloti huyu huyu..
Kumbuka Istanbul 2005. Na alikuwa ni Anceloti huyu huyu..
Siku Zote Mwisho Wa JOGOO Ni Kuchinjwa.
Rodgers hawezi kumaliza msimu huu kama kocha wa Liver, na ninahisi leo inaweza ikawa game yake ya mwisho. Jana niliandika ile nukuu maarufu ile inayosema "Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them", nikii dedicate kwa Ayre na Henry. Rodgers na benchi lake la ufundi ndio wametengeneza tena matatizo ya Liver, wanahitajika watu wengine tofauti kuja kuyatatua, na wakufanya hivyo niwakina Ayre na maboss zake.FSG wasipochukua hatua kwa BR, Top four tutaisikia tu!!
Kuku ni kuku tu, jogoo jina
we paid £20m for Lovren....ndo maana SAKHO anaumiaga sana kuwekwa bench na mpuuzi huyo!
Skirtel anacheza alongside na the shitiest partner katka maisha yake ya Soccer!!!
AGGER atakuwa anacheka sana huko aliko!!!!