Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Sakho kaumia au bado matatizo yake na BR hayajawa solved?Huyu Lovren has to be benched anatuumiza sana kwa kweli!!

Hendo aanzie nje na Hull City wanaokimbiza sana?This is more than a joke kama kweli

Sakho alitweet kabla ya game na madrid kwamba, atakuwa out tena kwa siku 10 nyingine..so bado hajawa fit!


Me ninachoombea tu, Asianze Lambert!!!!
 
Westham walipotufunga wengi waliongea sana!Ukkweli ni kuwa Westham hasa ikicheza kwao ni wazuri sana!!

Kufungwa na Aston Villa ndiyo ilikuwa ujinga
 
Hii ni EPL mkuu, but at least leo mmepata cleansheet
 
Reactions: Nzi
FSG should get rid of BR haraka sana!

Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!

Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!

We'r shit jamani, totally shit!
 
Yani hii timu majanga sn.......!!!

Safari hii ata top four hamuioni....!!
 
Reactions: Mbu
Yani hii timu majanga sn.......!!!

Safari hii ata top four hamuioni....!!

Oya,mbona unapenda kutufata fata sana? Kama hatuioni hiyo Top4,so what?? We unataka sisi tufanyeje sasa kama timu yetu majanga? Idiot
 
FSG should get rid of BR haraka sana!

Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!

Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!

We'r shit jamani, totally shit!

management haikumpa wachezaji aliowataka..
sanchez
higuain
reus
kumtosa roic remy ndo kosa kubwa la BR
 
FSG should get rid of BR haraka sana!

Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!

Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!

We'r shit jamani, totally shit!
Nyie kila mwaka mutakua munajadili makocha tu, wakati wenzenu tunajadili ubingwa. Asikuongopee mtu Liver pool hamuna wachezaji wanaoitajika ktk ushindani. Mwenye tim (Gerard) keshamaliza mpira wake nani tena pale? Staling au Balloteli? Mtabalidi makocha kila siku lakini mchawi wenu ni pessa.
 
magnificent MosDef
Nimeona beki jana imecheza vyema na tusikate tamaa ligi ngumu hii!Ona hapo Man City na mult milion projects zake wametuzidi points 3 tu!

Chelsea wala asikutishe anaweza shinda kesho akafungwa na Sunderland
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…