Nyunyez, mchezaji wa MosDef
Haaaa!
I guess hii frustration inatokana na game ya Brighton?
Did we even create anything for Darwin at the Amex?
Mchezaji gani ambaye alikuwa na good game?
We had a very poor start, and got punished, imekuwa norm ya msimu, kuanza games very slow, but we paid for it jana, na we failed to win, because hatukuwa na killers kutokea bench (Gakpo & Jota), wangekuwepo, tungeshinda game, kiurahisi tu, au kama Grav ange-convert his open chance, game ingekuwa imeisha, but its not about IFs now, ni kuangalia games zinazokuja, Amex is not an easy stadium, especially for us, msimu uliopita tulikuwa humiliated pale, so a draw was a fair result.
Nunez, all-round game, was the best, tatizo ndugu zako mnazingatia sana goals, which is fair pia, but, Nunez ame-improve kwenye sehem nyingi sana, his hold-up plays, passing & final passes, pressing on half-spaces, and kikubwa zaidi his off-ball movements, hence anapata chances nyingi sana kwa team ambayo inachezesha its creators very deep (Szobo & Macca), i wish ningeleta my data kuhusiana na Nunez but job ethics zinani-limit sikuhizi, but he has improved a LOT.
Jana, hajafunga, but he assited the first goal (hamuoni hili).
kukosekana kwa Curtis, na suala la Klopp kutomuamini Endo at DM, au kuona kama Grav bado hajakaa sawa for PL games (truth), kukamfanya Klopp aanze na Elliott, ambapo kulichangia Szobo aanze at LCM, na unajua demands za LCM chini ya Klopp, Elliott played at RCM, na Brighton managed to shut him down, kipindi cha kwanza, Szobo aligusa mpira mara TISA tu, sasa kama your best creator from MF, ana namba ya hizo touches, how can your ST give you goals? and you cant blame Szobo, because he was played at LCM, tena kukiwa na lack ya a typical 6.
We had a poor game jana, and i expected it, Brighton lost 6-1 to Villa, so De Zerbi wasnt going kupoteza another PL game kirahisi tena at home & against a big team, na tukubali tu, Brighton ni our bogey team now.
Positive thing ni kuwa, we were poor but we managed to sustain Brighton press kwa ufasaha, na goals zote tulizofungwa zilikuwa ni silly mistakes.