Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

International Break.

Means, activities za club football zinakuwa chache, and you get to be free kidogo kwenye offices za watu, kutumwa tumwa kukusanya datas/profiles kunapungua kidogo, na unapata nafasi ya kujiachia Jamii forums.

Captain, i see you brother, nikadhani umetimkia uarabuni pamoja na Henderson. Good to see you ukiwa in good shape man, was starting to get worried.

Ngwaba & Zumbemkuu, mmejaa humu, muda huu nilikuwa naangalia posts za LFC fans humu, naona mnajinafasi si mchezo, kweli Henderson alikuwa anawapa shida sana.

I love y'all LFC fans kwa hii thread, i love this thread to the fullest, my favorite part ya jamii forums.

#LFC
 
Nyunyezi ni over hyped
Nunez, ni victim wa his own price tag, kama angenunuliwa for £30-40m, watu wangekuwa na patience, but tunadhani he's a world beater kwasababu ya his price tag.

Ngwaba, you're a football man, you're so good at judging players, sidhani kama uliangalia game ya Brighton na kuona his overall play, na bado uka-question ubora wake, he's improving every game, Nunez wa msimu uliopita siyo wa msimu huu, kuna a LOT of improvements.

Give him time, again he's 22.
 
Nyunyez, mchezaji wa MosDef

Haaaa!

I guess hii frustration inatokana na game ya Brighton?

Did we even create anything for Darwin at the Amex?

Mchezaji gani ambaye alikuwa na good game?

We had a very poor start, and got punished, imekuwa norm ya msimu, kuanza games very slow, but we paid for it jana, na we failed to win, because hatukuwa na killers kutokea bench (Gakpo & Jota), wangekuwepo, tungeshinda game, kiurahisi tu, au kama Grav ange-convert his open chance, game ingekuwa imeisha, but its not about IFs now, ni kuangalia games zinazokuja, Amex is not an easy stadium, especially for us, msimu uliopita tulikuwa humiliated pale, so a draw was a fair result.

Nunez, all-round game, was the best, tatizo ndugu zako mnazingatia sana goals, which is fair pia, but, Nunez ame-improve kwenye sehem nyingi sana, his hold-up plays, passing & final passes, pressing on half-spaces, and kikubwa zaidi his off-ball movements, hence anapata chances nyingi sana kwa team ambayo inachezesha its creators very deep (Szobo & Macca), i wish ningeleta my data kuhusiana na Nunez but job ethics zinani-limit sikuhizi, but he has improved a LOT.

Jana, hajafunga, but he assited the first goal (hamuoni hili).

kukosekana kwa Curtis, na suala la Klopp kutomuamini Endo at DM, au kuona kama Grav bado hajakaa sawa for PL games (truth), kukamfanya Klopp aanze na Elliott, ambapo kulichangia Szobo aanze at LCM, na unajua demands za LCM chini ya Klopp, Elliott played at RCM, na Brighton managed to shut him down, kipindi cha kwanza, Szobo aligusa mpira mara TISA tu, sasa kama your best creator from MF, ana namba ya hizo touches, how can your ST give you goals? and you cant blame Szobo, because he was played at LCM, tena kukiwa na lack ya a typical 6.

We had a poor game jana, and i expected it, Brighton lost 6-1 to Villa, so De Zerbi wasnt going kupoteza another PL game kirahisi tena at home & against a big team, na tukubali tu, Brighton ni our bogey team now.

Positive thing ni kuwa, we were poor but we managed to sustain Brighton press kwa ufasaha, na goals zote tulizofungwa zilikuwa ni silly mistakes.
 
MosDef anaamini kunasiku Nunez atageuka Torres
Torres is my favorite LFC striker.

But when we signed Suarez, nilisema he'll will surpass Torres at LFC and he did, same kwa Firmino, na itakuwa same kwa Nunez. (mark this post)

But, ukinipa hao STs wote, i'll still choose Torres, bacause he's my 2nd favorite LFC player, after SG.
 
Kutana na Liverpool, inafunga magoli ya kutafuta kwelekweli ila inafungwa magoli mepesi kwelikweli

Macca is not a DM, na Klopp kumchezesha as a lone 6 ndiyo hakusaidii kabisa, but kwakweli anajitahidi sana, angekuwa m-bovu au anafanya kazi mbaya at 6, tusingekuwa na hii good start ya msimu huu.

Solution ni Klopp, kuachana na hii lone 6 mpaka tupate a good 6 (Kama Fabinho), just play Macca & Grav/Jones in a pivot, and Szobo mbele yao, tutakuwa na balance nzuri sana kwenye MF.

Na hata hivyo backline inajitahidi sana, especially jinsi tulivyo vulnarable kwenye MF, kinachotubeba nao, tuna very good attacking patterns, very good pressing patterns, so tukipata mipira inakuwa easy sana kutengeneza na ku-force chances.

Jana, we came up against De Zerbi, na pia hatukuwa na extra passer/holder kwenye MF (Curtis Jones), tulikuwa tuna-struggle, ku-retain chances, na change ya shape haikusadia, na kikubwa zaidi kutokuwepo kwa our main killer (Diogo Jota).
 
International Break.

Means, activities za club football zinakuwa chache, and you get to be free kidogo kwenye offices za watu, kutumwa tumwa kukusanya datas/profiles kunapungua kidogo, na unapata nafasi ya kujiachia Jamii forums.

Captain, i see you brother, nikadhani umetimkia uarabuni pamoja na Henderson. Good to see you ukiwa in good shape man, was starting to get worried.

Ngwaba & Zumbemkuu, mmejaa humu, muda huu nilikuwa naangalia posts za LFC fans humu, naona mnajinafasi si mchezo, kweli Henderson alikuwa anawapa shida sana.

I love y'all LFC fans kwa hii thread, i love this thread to the fullest, my favorite part ya jamii forums.

#LFC
Mkuu, hakuna kazi hat ya kufanya usafi hapo anfield uniunganishe??
 
Liverpool fans huwa wanachekesha sana, theres actually no need kwa headloss yeyote ile, hatujapoteza hata single step kwenye our title hopes (Yes, we are in the mix, just need to stay within 2-3 points with City mpaka January, and its mor than doable).

I mean, we have had a very good start of the season, katika games nane za mwanzo, tumecheza tayari at St James Park, Stamford Bridge, Spurs stadium, Amex (Newcastle, Chelsea, Spurs, Brighton), na tumepoteza mchezo mmoja tu, tena kwa kuwa robbed, (theres no way we were losing thay game against spurs bila uzembe wa refs). tumecheza na inform teams now (West ham & Villa) na tumeshamalizana na Wolves away, na you can see tumefanikiwa ku-accumulate 17 points, 3 points off top, na tungekuwa tunaongoza league on GD kama siyo uzembe wa kina Darren England.

And our fixtures baada ya International break ni LOVELY, tough game ni City at Etihad on 25th November, but tuna Everton (Home), Forest (H), Luton (A), Brentford without Toney (H). upewe nini cha zaidi?

Its funny, kwasababu hatujacheza na bottom 3 team (promoted teams) hata moja mpaka sasa, na kwenye Top 8 ya PL table hatujacheza bado na 2 teams tu (City & Arsenal).

We are in a very good position, so sidhani kama kuna haja ya headlosses, kisa ku-draw game ya Brighton, Spurs game ilikuwa nyepesi kuliko ya Brighton.
 
Torres is my favorite LFC striker.

But when we signed Suarez, nilisema he'll will surpass Torres at LFC and he did, same kwa Firmino, na itakuwa same kwa Nunez. (mark this post)

But, ukinipa hao STs wote, i'll still choose Torres, bacause he's my 2nd favorite LFC player, after SG.
Huyo Nunez hakuna maajabu atafanya😂
Usimlinganishe na Torres na Suarez aisee.. hao watu walikuwa si wa kawaida.
 
Mkuu, hakuna kazi hat ya kufanya usafi hapo anfield uniunganishe??
Kwa foreigners kupata daily-operational jobs (non-professional jobs) at the club ni ngumu, priority ni locals, na you cant blame the club, they want to give back to the community.

Professional jobs are always open, kwa any qualified individual (worldwide).
 
Sisi Liverpool halisi tunaamini Nunez ni mzuri kama wachezaji wengine, kuna wakati pia Salah alikuwa anapata chance mpaka akaitwa mchoyo 😄,

Mwenyekiti Malafyale njoo huku.

Halafu muda umepita hatujamsikia mkuu MosDef akishusha nondo, hasa lile sakata na Tottenham, uwezekano wakurudia mechi upo kweli?

Saga, nadhani ishaisha.

kurudia game ingekuwa ngumu sana, na itakuwa ngumu, because Spurs watatakiwa ku-consent.
 
Kwa foreigners kupata daily-operational jobs (non-professional jobs) at the club ni ngumu, priority ni locals, na you cant blame the club, they want to give back to the community.

Professional jobs are always open, kwa any qualified individual (worldwide).
Niunganishe kazi yoyote Mkuu,we si uko hapo [emoji16],nipachike hata kazi ya kumfutia Trent viatu.
Ama naomba link za hizo professional positions nijaribu bahati yangu.
 
[emoji3589]
20230908_124549.jpg
 
Niunganishe kazi yoyote Mkuu,we si uko hapo [emoji16],nipachike hata kazi ya kumfutia Trent viatu.
Ama naomba link za hizo professional positions nijaribu bahati yangu.

Haaa!

I dont work at the club, i work/volunteer for people/companies zinazofanya kazi kwa ukaribu na clubs, (Scout networking companies & independent jornos & media houses), i'm a sport writer (i sell or rent articles/sport pieces), & other JOBS. and i have been studying for a BIG while now (different & new courses)

Pofessional jobs, zote zipo attached na zina-demand experience kubwa ya kufanya kazi kwenye football world, iwe medical, account, business management, legal, tax management, etc, lazima uwe umefanya kazi kwenye football club/field.
 
Mungu atuweke
Nipo pale[emoji117]

Nunez akiwa na game mbaya, hell ina break loose.

Performance ya jana ya Haaland, ingekuwa ni Nunez sijui ingekuwaje humu ndani.

Nunez has been good this season, 7 games, 4 goals and 3 assists, thats 7 GA, kwenye games 7, sasa unataka return ipi kwa striker? he's averaging a goal or assist kila baada ya dakika 46 msimu huu.

mnataka kila striker afunge kama Haaland, msimu uliopita? Striker anakupa number kama hizo za Nunez, bado anaonekana kiazi, kisa ni nini? price tag au?
 
Haaa!

I dont work at the club, i work/volunteer for people/companies zinazofanya kazi kwa ukaribu na clubs, (Scout networking companies & independent jornos & media houses), i'm a sport writer (i sell or rent articles/sport pieces), & other JOBS. and i have been studying for a BIG while now (different & new courses)

Pofessional jobs, zote zipo attached na zina-demand experience kubwa ya kufanya kazi kwenye football world, iwe medical, account, business management, legal, tax management, etc, lazima uwe umefanya kazi kwenye football club/field.
Khaa!
Naona sifit kote[emoji23][emoji174].
Basi nipe tu connection ya Trent.

Ulifanyaje ukafika huko Mkuu?
Tupe mbinu ndugu mtanzania mwenzetu.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom