Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Chances anazopoteza ni nyingi kulikoNunez akiwa na game mbaya, hell ina break loose.
Performance ya jana ya Haaland, ingekuwa ni Nunez sijui ingekuwaje humu ndani.
Nunez has been good this season, 7 games, 4 goals and 3 assists, thats 7 GA, kwenye games 7, sasa unataka return ipi kwa striker? he's averaging a goal or assist kila baada ya dakika 46 msimu huu.
mnataka kila striker afunge kama Haaland, msimu uliopita? Striker anakupa number kama hizo za Nunez, bado anaonekana kiazi, kisa ni nini? price tag au?
Ha,ha,ha tuombe uzima mkuu tuone evolution ya NunezTorres is my favorite LFC striker.
But when we signed Suarez, nilisema he'll will surpass Torres at LFC and he did, same kwa Firmino, na itakuwa same kwa Nunez. (mark this post)
But, ukinipa hao STs wote, i'll still choose Torres, bacause he's my 2nd favorite LFC player, after SG.
Overall sare ya jana ni individual erros, kupoteza pasi na robbo kushindwa kuclear mpira, na chance ya wazi tuliyokosa, otherwise sikuona udhaifu wa Macc kucheza 6Macca is not a DM, na Klopp kumchezesha as a lone 6 ndiyo hakusaidii kabisa, but kwakweli anajitahidi sana, angekuwa m-bovu au anafanya kazi mbaya at 6, tusingekuwa na hii good start ya msimu huu.
Solution ni Klopp, kuachana na hii lone 6 mpaka tupate a good 6 (Kama Fabinho), just play Macca & Grav/Jones in a pivot, and Szobo mbele yao, tutakuwa na balance nzuri sana kwenye MF.
Na hata hivyo backline inajitahidi sana, especially jinsi tulivyo vulnarable kwenye MF, kinachotubeba nao, tuna very good attacking patterns, very good pressing patterns, so tukipata mipira inakuwa easy sana kutengeneza na ku-force chances.
Jana, we came up against De Zerbi, na pia hatukuwa na extra passer/holder kwenye MF (Curtis Jones), tulikuwa tuna-struggle, ku-retain chances, na change ya shape haikusadia, na kikubwa zaidi kutokuwepo kwa our main killer (Diogo Jota).
Khaa!
Naona sifit kote[emoji23][emoji174].
Basi nipe tu connection ya Trent.
Ulifanyaje ukafika huko Mkuu?
Tupe mbinu ndugu mtanzania mwenzetu.
Nasema uongo ndugu zangu?
Overall sare ya jana ni individual erros, kupoteza pasi na robbo kushindwa kuclear mpira, na chance ya wazi tuliyokosa, otherwise sikuona udhaifu wa Macc kucheza 6
Ha,ha,ha tuombe uzima mkuu tuone evolution ya Nunez
Chances anazopoteza ni nyingi kuliko
bao anazofunga.
Tena chance za wazi kabisa.
Jini halijapata nafasi ya kugusa hata mpira, hadi likataka kuanza kupiga watu nje ya uwanja πNunez akiwa na game mbaya, hell ina break loose.
Performance ya jana ya Haaland, ingekuwa ni Nunez sijui ingekuwaje humu ndani.
Nunez has been good this season, 7 games, 4 goals and 3 assists, thats 7 GA, kwenye games 7, sasa unataka return ipi kwa striker? he's averaging a goal or assist kila baada ya dakika 46 msimu huu.
mnataka kila striker afunge kama Haaland, msimu uliopita? Striker anakupa number kama hizo za Nunez, bado anaonekana kiazi, kisa ni nini? price tag au?
Ila madam wewe bwana, kwenye issue serious unaingiza Jokes π, utamkimbiza Mosdef wakati bado tunahitaji kunyonya π π€£Khaa!
Naona sifit kote[emoji23][emoji174].
Basi nipe tu connection ya Trent.
Ulifanyaje ukafika huko Mkuu?
Tupe mbinu ndugu mtanzania mwenzetu.
Nasema uongo ndugu zangu?
KhaaπIla madam wewe bwana, kwenye issue serious unaingiza Jokes π, utamkimbiza Mosdef wakati bado tunahitaji kunyonya π π€£
Nunez magoli anayokosa ni ya wazi sana.BCMs kwa Striker ni kitu cha kawaida.
Halaand ana zaidi ya 10 BCMs msimu huu, au shida ni Nunez tu?
Oh kumbe!Trent is a celeb.
Shule/University.
Baba Swalehe aione hii πKhaaπ
Nipo serious sitanii.
Unaweza kuta anayo connection ndugu yenu st Anne huyo nikapaa kwenda uingereza.
Hujawahi kumshuhudia Salah akikosa magoli wewe, hadi akaitwa mchoyo nambari moja dunaini, na ndo campaign yakutaka auzwe ikaanzia hapo, ni swala la muda tu utatulia....Nunez magoli anayokosa ni ya wazi sana.
Yaani nafasi ya wazi kabisa ya kufunga yeye ndio anakosa.
HamnaHujawahi kumshuhudia Salah akikosa magoli wewe, hadi akaitwa mchoyo nambari moja dunaini, na ndo campaign yakutaka auzwe ikaanzia hapo, ni swala la muda tu utatulia....
Unakuta mfuta viatu wa Trent ana mshahara mkubwa kuliko daktari bongo.Baba Swalehe aione hii π
Ikiwa hata penalty watu wanakosa, hata kwenye movements za kutafuta magoli ni kawaida sana. Nyunyezi atawanyunyiza muda si mrefu, atawapuruvu rongi kabisa .Hamna
Huwa namshuhudia.
Sasa kama watu wenyewe wa kuwapasia ni akina Nunez,bora apambane tu.
Mchoyo kwa sasa ni Diaz..anataka apige chenga afunge utadhani Rey Mysterio wa WWE.
Nunez anabaki yeye na kipa tu
Na bado anakosa!.
Penalty ni kitu kingine bwana.Ikiwa hata penalty watu wanakosa, hata kwenye movements za kutafuta magoli ni kawaida sana. Nyunyezi atawanyunyiza muda si mrefu, atawapuruvu rongi kabisa .
Jini halijapata nafasi ya kugusa hata mpira, hadi likataka kuanza kupiga watu nje ya uwanja π