Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Chances anazopoteza ni nyingi kulikoNunez akiwa na game mbaya, hell ina break loose.
Performance ya jana ya Haaland, ingekuwa ni Nunez sijui ingekuwaje humu ndani.
Nunez has been good this season, 7 games, 4 goals and 3 assists, thats 7 GA, kwenye games 7, sasa unataka return ipi kwa striker? he's averaging a goal or assist kila baada ya dakika 46 msimu huu.
mnataka kila striker afunge kama Haaland, msimu uliopita? Striker anakupa number kama hizo za Nunez, bado anaonekana kiazi, kisa ni nini? price tag au?
bao anazofunga.
Tena chance za wazi kabisa.