Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tupo pale[emoji23][emoji117]Asa Klopp wako hampingi bhana mpaka waumie wengine... Consistency itakuja akicheza mara kwa mara hata Halland asipofunga mbona hawekwi benchi... Muachane dogo amilikishwe namba n th rest will be history...
YNWA
Khaaa kweli wewe ni devoted Nunez critik hahaha hii sasa ni personal vendetta haha ebu tulizana Nunez is the next big thing pale Anfield that i can tell... At least kwa kuanzia tuna MF ballers who can pick a slicing pass out of th blue.. Hapa Klopp apate a proper DM ili kuruhusu mfumo uwe fluid to Nunez strength...Tupo pale[emoji23][emoji117]
Tutaona
YNWA
In Nunez I Trust....Sawa bwana Kaka Nuniez [emoji23]
Ebu aje hapa OllaChuga Oc aafu umwambie Torres alikua hot na pale kwao... Hahaha.Penalty ni kitu kingine bwana.
Hebu acheni kumfananisha Torres na vitu vya ajabu๐
Nunez ni mchezaji wa kawaida sana, tofauti na mnavyompamba hapa
๐ ๐ ๐ ๐ Bila shaka akaunti hii imedukuliwa si bure kabisaa....Nawaombea livapuli musimu huu muwe mabingwa ๐๐๐
๐ ๐ ๐ ๐ Well said well said... Nunez offers more than goals... Brighton are team that plays more like a unit and they are dangerous lakin uwepo wa Nunez running across thier line meant they wont go high around the pitch.. Klopp plan worked wonders against Brighton this time on another day that a win for us...How many STs can offer you, alichokuwa anaki-offer kwenye hiyo clip?
Ametengeza goals zote mbili, Big chance aliyo-miss Grav, katengeneza yeye.
His hold-up play from the half-spaces ilikuwa inasaidia sana ku-sustain press ya Brighton, his pace & passing lanes, zilikuwa zinasaidia sana ku-switch up plays na ku-move out from Brighton's countering traps, kwenye hiyo clip umeona ni jinsi gani his movements (off & on ball), zilivyokuwa zinawapa tabu defenders, the way he interchanging with Salah at RW, the way he receives mipira at LW, etc, he was everywhere.
Haaland had no creators at Arsenal, alikuwa ana-cover uwanja (Central, LW, RW) kutafuta mipira kama Nunez kwenye hiyo clip?
Kama hauoni mchango wa Nunez kupitia hiyo clip, then utakuwa upo blinded na hatred.
Ni mchazaji wa kawaida tu,,si mbaya sana,ila pia so mzuri sana kama mnavyojaribu kituaminisha.Ebu aje hapa OllaChuga Oc aafu umwambie Torres alikua hot na pale kwao... Hahaha.
Miss Liverpool hua unaangalia mpira LiveScore ama maana Nunez ninaemjua mie yupo mishe making sure pale mbele hapakaliki ili kuwapa wengine nafasi wafunge...
Kama ulimvumilia chicken head Henderson iweje huyu young boy huna subira nae...
YNWA
Bangi ni mbaya๐ ๐ ๐ ๐ Bila shaka akaunti hii imedukuliwa si bure kabisaa....
YNWA
Sawa bwanaIn Nunez I Trust....
Come on Nunez mzima mdomo huyu miss Liverpool aache kukosa imani na uwezo wako...
YNWA
Sawa kaka NuniezKhaaa kweli wewe ni devoted Nunez critik hahaha hii sasa ni personal vendetta haha ebu tulizana Nunez is the next big thing pale Anfield that i can tell... At least kwa kuanzia tuna MF ballers who can pick a slicing pass out of th blue.. Hapa Klopp apate a proper DM ili kuruhusu mfumo uwe fluid to Nunez strength...
YNWA
Hapa kwa Henderson nakukubalia ulichosema alinipa shida kweli, sikuweza kuamini macho yangu kuwa tuliongozwa na Captain mbovu kiasi kile [emoji23]International Break.
Means, activities za club football zinakuwa chache, and you get to be free kidogo kwenye offices za watu, kutumwa tumwa kukusanya datas/profiles kunapungua kidogo, na unapata nafasi ya kujiachia Jamii forums.
Captain, i see you brother, nikadhani umetimkia uarabuni pamoja na Henderson. Good to see you ukiwa in good shape man, was starting to get worried.
Ngwaba & Zumbemkuu, mmejaa humu, muda huu nilikuwa naangalia posts za LFC fans humu, naona mnajinafasi si mchezo, kweli Henderson alikuwa anawapa shida sana.
I love y'all LFC fans kwa hii thread, i love this thread to the fullest, my favorite part ya jamii forums.
#LFC
Hii livapuli lazima iwe bingwa msimu huu, amini nakumbia killop atawashangaza๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ Bila shaka akaunti hii imedukuliwa si bure kabisaa....
YNWA
Hapa lazima mambo yaende vizuri๐๐๐Mambo sio mazuri[emoji3064][emoji120]View attachment 2780795
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa lazima mambo yaende vizuri[emoji3][emoji3][emoji3]