Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
That the attitude let's time be the judge...Sawa Bobby
Time will tell
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That the attitude let's time be the judge...Sawa Bobby
Time will tell
😂 😂 😂 Kwa hio mpaka kiwango chake anakoelekea sio zaidi ya pale😂😂😂 acha maneno Miss Liverpool..Hapana
With time Ataimprove,ila si kwa kiwango hicho mnachoexpect.
😂 😂 😂 Huchelewi kusema Gerrard aje pia kumfuata Captain Chaos hahaha utulie.Mitano [emoji110] kwa Gerrard[emoji3059][emoji7]
Sana aisee. Ndio mapambano yashaanza ya kizazi kipya ni Mbappe, Vincious, Halaand, Bellingham. Ngoja tuone nani anaridhi mikoba ya pound for pound player... Ronaldo na Messi wamewaburuza wengine kwa muda tu...Time flies
😂 😂 😂 😂 😂 Wewe mtumishi kwa maneno hujambo hujambo nishajua una ishu na tatoo za dogo...Shida ni nyie kuanza kucomparw vitu ambavyo havipo sawa[emoji23]
Eti kisa Salah,Torres sijui walishine
Basi naye Nuniez mnamuweka kundi hilohilo.
Ni mchezaji wa kawaida bwana,msituaminishe kwa maneno.
Si tunataka alengeshe magoli.
Huyo Haaland mtoe hapo,,Jini Bila KDB ni baleke aliyechangamka😂Sana aisee. Ndio mapambano yashaanza ya kizazi kipya ni Mbappe, Vincious, Halaand, Bellingham. Ngoja tuone nani anaridhi mikoba ya pound for pound player... Ronaldo na Messi wamewaburuza wengine kwa muda tu...
YNWA
Hata Szobo anazo tattoo lakini😂😂 😂 😂 😂 😂 Wewe mtumishi kwa maneno hujambo hujambo nishajua una ishu na tatoo za dogo...
YNWA
Gerrard aje kuanza kucoach madogo kama assistant wa Klopp😂 😂 😂 Huchelewi kusema Gerrard aje pia kumfuata Captain Chaos hahaha utulie.
YNWA
Kiwango chake kimekua ni kweli😂 😂 😂 Kwa hio mpaka kiwango chake anakoelekea sio zaidi ya pale😂😂😂 acha maneno Miss Liverpool..
He will surprise you...
YNWA
Angejua asingeenda..Amen. Tunashukuru sana aisee umeona Robertson aliumia akiwa na Scotland na amesharejea Anfield kwa uchunguzi zaidi tetesi ni kwamba anaweza kua nje kwa zaidi ya wiki 8 hio sio powa kabisa kwetu.
YNWA
Nasikia huko Tsimikas ni wa moto...nadhani ndo muda wake wa kutafuta namba sasa..Amen. Tunashukuru sana aisee umeona Robertson aliumia akiwa na Scotland na amesharejea Anfield kwa uchunguzi zaidi tetesi ni kwamba anaweza kua nje kwa zaidi ya wiki 8 hio sio powa kabisa kwetu.
YNWA
Kwa kweli na iwe hivyo kabisaaa ni wakati wake sasa afanye kweli.... ile namba hata Robertson aliichukua kwa nguvu kutoka kwa Alberto Moreno....Nasikia huko Tsimikas ni wa moto...nadhani ndo muda wake wa kutafuta namba sasa..
😂 😂 😂 😂 😂 Hilo la Samata kweli ama ndio uwezo wake unaishia paleAngejua asingeenda..
Ama angeenda acheze kawaida.
Mwenzao Samatta akirudi Taifa stars anacheza kama mtoto wa kindergarten 😂 kukwepa injuries zisizo za msingi,watu wanamlaumu ila jamaa wala hajali,, analinda ugali wake.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Aisee bado upo na mwamba wa La Celeste haha wewe kweli huna jambo dogo.Kiwango chake kimekua ni kweli
ila msianze kumgroup kundi la kina Salah, Torres
Hana huo mpira wa viwango vya hao majamaa.
All day long nitakuwa nawaombea muwe mabingwa msimu huu ikitokea city akaflop ila sio kwa wale jamaa wa overload n pressing.Mungu atuepushe na majeraha kwa wachezaji wetu... Kipara kumng'oa pale tunahitaji kikosi kamili na hizi mechi za kimataifa zilivyokua nyingi sasa kuna balaa kwa wachezaji...
Maneno yako na yatimie.
YNWA