Mungu atuepushe na majeraha kwa wachezaji wetu... Kipara kumng'oa pale tunahitaji kikosi kamili na hizi mechi za kimataifa zilivyokua nyingi sasa kuna balaa kwa wachezaji...Hii livapuli lazima iwe bingwa msimu huu, amini nakumbia killop atawashangaza😀😀😀
#CFC💙💙💙
Hivi hua hata unakumbuka kweli kitambo fulani tulikua tuna na forward toothless sana au umesahauNi mchazaji wa kawaida tu,,si mbaya sana,ila pia so mzuri sana kama mnavyojaribu kituaminisha.
Kwa hio unasema aje apigwe bei ama.Ni mchazaji wa kawaida tu,,si mbaya sana,ila pia so mzuri sana kama mnavyojaribu kituaminisha.
Duniani bahati ipo kabisa... Amezomewa mechi ya juzi Wembley na kocha wake anatafuta maneno ya kumtetea anakosa kabisa... Mara ooh whats he done for England in n out 9f the pitch is big bla bla huyu dogo kumtetea ni ngumu sana hapo ikiguswa stat zake kocha angesepa😂...Hapa kwa Henderson nakukubalia ulichosema alinipa shida kweli, sikuweza kuamini macho yangu kuwa tuliongozwa na Captain mbovu kiasi kile [emoji23]
Tsimikas ataziba nafasi yake.Hizi international break jau sana.View attachment 2782226
Henderson ni bomu lililokuwa linasubiri kuripuka tu.Duniani bahati ipo kabisa... Amezomewa mechi ya juzi Wembley na kocha wake anatafuta maneno ya kumtetea anakosa kabisa... Mara ooh whats he done for England in n out 9f the pitch is big bla bla huyu dogo kumtetea ni ngumu sana hapo ikiguswa stat zake kocha angesepa[emoji23]...
YNWA
Gerrard katuokoa parefu sana itakua ilichekiii akaona hii bomu ngoja nilitoe Anfield mapema kabla mambo hayajawa mambaya zaidi... We are lucky kwa msaada wa Gerrard.Henderson ni bomu lililokuwa linasubiri kuripuka tu.
Time flies
Shida ni nyie kuanza kucomparw vitu ambavyo havipo sawa[emoji23]View attachment 2783029
Cc Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpe Nunez nafasi... Kuweka rekodi sawa ni kwamba dogo Modric alivyotua pale Madrid kutoka Spurs hakua na wakati mwema msimu wa kwanza na alizomewa huyu magazeti kama Macca wakimdiss kua usajili mbovu wa karne lakini dogo hakuacha kujituma alijua uwezo anao yupo klabu ambayo inahitaji performance ya hali ya juu sana muda wote na hatimae kujituma kwake kukalipa na leo hii yupo pale akiupiga mwiingi sana na umri ule....
Mpe Nunez muda atakaa sawa na kujibu wasiwasi wako.
YNWA
Bwana wa kawaida huyu mdogo wako [emoji23][emoji23]View attachment 2783029
Cc Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpe Nunez nafasi... Kuweka rekodi sawa ni kwamba dogo Modric alivyotua pale Madrid kutoka Spurs hakua na wakati mwema msimu wa kwanza na alizomewa huyu magazeti kama Macca wakimdiss kua usajili mbovu wa karne lakini dogo hakuacha kujituma alijua uwezo anao yupo klabu ambayo inahitaji performance ya hali ya juu sana muda wote na hatimae kujituma kwake kukalipa na leo hii yupo pale akiupiga mwiingi sana na umri ule....
Mpe Nunez muda atakaa sawa na kujibu wasiwasi wako.
YNWA
Mitano [emoji110] kwa Gerrard[emoji3059][emoji7]Gerrard katuokoa parefu sana itakua ilichekiii akaona hii bomu ngoja nilitoe Anfield mapema kabla mambo hayajawa mambaya zaidi... We are lucky kwa msaada wa Gerrard.
YNWA
HapanaKwa hio unasema aje apigwe bei ama.
YNWA
Sawa BobbyHivi hua hata unakumbuka kweli kitambo fulani tulikua tuna na forward toothless sana au umesahau
Lambert
Baloteli
Aspas
Ngon
Diouf
Carroli
Downing
Nabil
Babel
Sinama Pongole nk nk nk
Lakini chini ya Klopp ametuletea ma forward ambao ni world beaters na kila mmoja aliwesa ku shine kwa wakat wake.. Salah hakuchukua muda aka shine, same case na Mane nk nk na huyu Nunez wakati upo waja. Kuna sababu huyu dogo ni Anfield fans favourite si bure...
YNWA
Leo kanisani nimeiombea Liverpool [emoji23]Mungu atuepushe na majeraha kwa wachezaji wetu... Kipara kumng'oa pale tunahitaji kikosi kamili na hizi mechi za kimataifa zilivyokua nyingi sasa kuna balaa kwa wachezaji...
Maneno yako na yatimie.
YNWA
Amen. Tunashukuru sana aisee umeona Robertson aliumia akiwa na Scotland na amesharejea Anfield kwa uchunguzi zaidi tetesi ni kwamba anaweza kua nje kwa zaidi ya wiki 8 hio sio powa kabisa kwetu.Leo kanisani nimeiombea Liverpool [emoji23]