Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.

YNWA
Mi nilikuwa nafikiria hvyo kwasababu hela yake ni ndogo, ila tukimpata huyo jamaa itakuwa poa sana sasa sijui kama FSG wataitoa hela ya huyo Khavicha maana ninahisi yupo ghali sana sokoni
 
Nunez Nunez Nunez

Boy will hit not far
 
Naam. Ila option zilikuwa mbili
1. Mchukueni sasa na mtoe £39M
2. Muacheni mpaka january mje mumchukue kwa £19M.

Klopp na rafiki yake Jorg wakaona better January hapa tutamtumia Macca, Jones, Thiago, Bajcetic bahati mbaya hesabu zimekataa kabisaa.!!! Kwa hiyo kwa sasa ni 3 points kwanza, mengine tutajuana mbeleni huko.
 
Ukiwa na depth pressure is not your friend.
Remember 2021/2022 tulivyopunguza gap la 12 points to 1 point kwa kipara? Ongezeko la Diaz tu na MFs zilikuwa na fitness, mpaka Klopp aliulizwa do you now enjoy the depth unlike other seasons? Ilikuwa raha kweli.

Hata msimu huu kuna kadepth japo haina quality ki viiiile but better than last season.

Know u see Elliot akiingia unaona huge changes, Gakpo Jota wakianzia bench unaona watu wameingia kubadili mchezo. January wamchukue LCB & DM (Andre). Hapo tunaweza kukimbizana na kipara
 
DM & LCB are highly needed no debate about it.
 
Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.

YNWA

Ujue kupata like to like Salah’s replacement ni ngumu. Ishu ni kumpata mtu mwenye consistency ya afya ya mwili na akili na awe walau anakupa 25+ G/A. Hapa ni suala la Klopp mwenye kubadili na mifumo ili kuyapata magoli miguuni mwa mchezaji husika.
 
Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.

YNWA

Ujue kupata like to like Salah’s replacement ni ngumu. Ishu ni kumpata mtu mwenye consistency ya afya ya mwili na akili na awe walau anakupa 25+ G/A. Hapa ni suala la Klopp mwenye kubadili na mifumo ili kuyapata magoli miguuni mwa mchezaji husika.
 
Mi nilikuwa nafikiria hvyo kwasababu hela yake ni ndogo, ila tukimpata huyo jamaa itakuwa poa sana sasa sijui kama FSG wataitoa hela ya huyo Khavicha maana ninahisi yupo ghali sana sokoni

Of course ila haiizidi £70M ni affordable and he is only 22yrs good deal kama tukiamua kuingia mazima kwa ajili ya mbadala wa Salah. Jamaa goals and assits he is good atleast 20+ G/A per season anafika
 
Kocho anatia mashaka kumharibu viwango vya baadhi ya wachezaji.
Kumpanga mchezaji nje ya nafasi yake bilazarula ni kumvuluga kiakili.

Kama yule beki 3 gem ya kwanza kukaza anatolewa na hakuna mbadala inabidi awe na roho ngumu kubaki mchezoni kiukweli

Endo ndo haaminiki mana bola namba 10 acheze 6 kuliko yeye.
Wengi tunaangalia mafanikio bila ya kujali tunayatolea jashi kiasigani Kuna baadhi ya gem hatutakiwi kutoa jasho kabsaa ila ndo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…