Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 Hilo tumezoea sana umesahau ile penati y wazi walinyimwa Everton vs Manchester City pale Rodri alinawa mpira...Hakuna cha siku mbaya 😂
Tukikosa ubingwa lawama zote nitampa yule refarii.
Yaani sisi alikataa goli[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hilo tumezoea sana umesahau ile penati y wazi walinyimwa Everton vs Manchester City pale Rodri alinawa mpira...
Well muda upo tuwe bora zaidi...
YNWA
😂 😂 Nuksi ndio huanza vile ujue. Nwa muda bado upo lets hope wengine wakiteleza sie twasonga mbele.Yaani sisi alikataa goli
Anatupa na red card 2
Kweli??
Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.January tungemchukua huyu jamaa aongeze nguvu japo ni 27 yearsView attachment 2791249
Mambo ya ramli siyataki tena😂 😂 Nuksi ndio huanza vile ujue. Nwa muda bado upo lets hope wengine wakiteleza sie twasonga mbele.
YNWA
Mi nilikuwa nafikiria hvyo kwasababu hela yake ni ndogo, ila tukimpata huyo jamaa itakuwa poa sana sasa sijui kama FSG wataitoa hela ya huyo Khavicha maana ninahisi yupo ghali sana sokoniSio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.
YNWA
Naona Liverpool wanatafuta mbadala wa Salah huko.Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.
YNWA
Hii habari inatutesa sana baadhi ya watu.Naona Liverpool wanatafuta mbadala wa Salah huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] U r sworn Nunez critik haijalishi acheze vipi na dakika ngap wwe umo kumdiss unless unasahau hata huyo Salah kuna wakati humu almost aliboa sana kwa ule uselfishness wake kiasi Mane alichukia live bila chenga lakini Klopp hakuwai kumtia benchi mbali muda wote akiwa mzima ni wa kupangwa na hilo lilichangia dogo Mo kua na consistency ya kufunga ama kutengeza magoli kwa wengine na hilo ndio binafsi nataka nione kwa Nunez akipewa dakika za kutosha uwanjani 1st 11 sio hizi patches...
Huyo Halaand hata asipofunga hutakaa umuone benchi yeye yumo kwa kua Kipara ana imani ila kwa Klopp ni vice versa yeye ana watu wake anaowaamini lazima wawe 1st 11 regardless wana form ipi wao wamoo tu 1st 11....yalimkuta Fabinho alivyotua Liverpool na pia Robertson yalimkuta pia hivyo dogo Nunez ajitume tu hakuna namna japo kwa strika dakia nyingi uwanjani ndio chance nyingi za magoli hana jinsi hizo hizo dakika anazopata kitaeleweka.
YNWA
Uwepo wa Edu pale Arsenal kumhitaji huyu dogo kunaweza kuharibu mambo aisee lakini nina imani kwa kua dogo alishapewa dodoo za kumhitajika kutua Liverpool.... Itakua combination ya nguvu sana Dominic Andre Gravenberch...
Ni suala la muda kwa kua klabu yake ndio walihitaji huu usajili usongezwe mbele na Liverpool wakasema poa.
YNWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pale hakuna Gunners ya 03/04 sio rahisi tena aisee ligi ushindani upo next level na pia mechi zimekua nyingi balaa na rate ya majeruhi is next to none...
Manchester City advantage ya upana wa kikosi unambeba sana aisee tazama hawapo KDB na Grealish lakini flow ya mpira na idea za Kipara zinakua well worked out haijalisha kama wanashinda lakini the identity is there to see press make the field as small as possible n attack in numbers defend in numbers that th concept ya Kipara na hana uoga to speak his mind mchezaji akipoteana lakini kwa Klopp yeye muda wote anabemba lawama yeye na hana ujasiri kujaribu na wachezaji wapya anaonunua baadhi inawachukua almost msimu mzima au zaid kua incorporated kwenye 1st 11...na hii inachangia by th time tufike February wachezaji wanakua hoi bin tabaan na hapo ndio sare ama vipigo vinaanza na kumpa nafasi Kipara kufanya yake...
Kumpidua Kipara we need luck with injuries pia.
We are one player away yaaani akitua tu a proper DM pale then we are sorted to go after whoever is in front...
YNWA
Klopp ana makengeza ujue.. Kwamba hakuona ile defence inahitaji kuongezewa watumishi/mtumishi ni maswali mengi bila majibu... VVD sio yule wa miaka hio, Konate is made of Indian biscuits hawezi kukupa 10 intense games in row.. Matip haeleweki siku unategemea akupe kazi kazi ndio huyoo ananchemka na mabeki wa pembeni all have been said...
January ingekua jambo la heri kuona FSG wakiingia sokoni kuleta beki wa beki precisely anaetumia nguu wa kushoto itakua added advantage.. Tunaemkimbiza Kipara suala la ulinzi hua hatanii kabisa dirisha lilioisha ametoa zaidi ya £50m kumsajili 'Gravidol' na dalil ni amewaongeza ubora...
Mpaka pale FSG wataacha kuona kama uwepo wa Klopp unatosha ndio wataachia ma pesa za usajili
YNWA
Mechi 9 sasa EPL, nafasi aliyepo Spurs ndo nafasi aliyopaswa kuwa Liverpool kama sio ungeserema wa marefalii
Ndiyo
Kabaki Allison tu.
Bobby ndio huyo
Fabhinho ndo huyo
Yaani hao wote roho inaniuma,, mechi za Penalty sijui atapiga nani.
Yaani sisi alikataa goli
Anatupa na red card 2
Kweli??
Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.
YNWA
Sio kwambq tuvuje benki kwa Khavicha ndugu.... Left footed pure Salah heir.
YNWA
Mi nilikuwa nafikiria hvyo kwasababu hela yake ni ndogo, ila tukimpata huyo jamaa itakuwa poa sana sasa sijui kama FSG wataitoa hela ya huyo Khavicha maana ninahisi yupo ghali sana sokoni
Kocho anatia mashaka kumharibu viwango vya baadhi ya wachezaji.Huyu Ryan Gravenberch ni swala la muda ila ana vitu vingi vya kutuonyesha
⚽️62 mins,
🥉31/32 succesful passes,
🎱 97% accuracy,
🧿1 chance created,
🎯2/2 succesful dribbles,
♦️7 recoveries, 3 interceptions,
♣️ 6/8 ground duels won.
View attachment 2788734