Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ujue muda mwingine nawaza hata system yetu ya uzuiaji ni mbovu kwa kweli, sasa ukija kuweka na individual weaknesses ndio kabisa tunazidi kuwa wazi.

Bado Klopp hajajipata kusema ukweli bahati nzuri tunashinda pamoja na kuchechemea kwetu.
Watu hatuoni haya mpaka wachezaji wachoke kwa matumizi ya nguvu bola akili
 

Hapo kwa Macca kupiga DM badala ya Deep play marker ni kweli hapa Klopp anatudanganya sana na uzuri mpira ni mchezo wa wazi sana. Tunaona Macca anavyo struggle.

Kwa ishu ya kumtoa Tsimikas, nakubaliana na Klopp 100%. Kwa nini? Unahitaji goli kama sio magoli kwa timu kama Everton ambayo toka mpira unaanza kabla ya red card plan game ilikuwa ni Njooni mtushambulie siye twazuia nyuma huku, tukiwapokonya ni counter tu. Sasa baada ya red wakapata sababu ya kukaa nyuma 100%. Hapo inabidi kama kocha uongeze mashambulizi na kupunguza kujilinda, ndio akafanya akiwa na target ya kupata magoli na kuanza ku relax. Na sub pekee ilikuwa na Tsimikas.
 
Hem nambie na Hawa washambuliaji 2 na viungo hivi ni sawa kweli hata kama tuna shinda?
 
Red card zote pamoja na utata wake sawa ila kulikataa lile goli ndio iliharibu kila kitu. Momentum ingekuwa nyingine kabisa.
Maumivu ya red card ni Makubwa kuliko hata ya goli.

Kucheza watu wawili pungufu ni kazi pevu sana.
Pengine tusingekuwa pungufu hata tungepata goli jingine .
 
Hem nambie na Hawa washambuliaji 2 na viungo hivi ni sawa kweli hata kama tuna shinda?

Ni sawa kama tunashinda maana ndilo lengo la mpira. Having a DM doesn’t guarantee you to win mostly but atleast you have comfortable defensively.

Kuna ndugu zetu wa London wana two DM’s one £115 and £53 still kuna struggling unaiona kwao. Wakati mwingine unahitaji kuwajua players wako ili uwatumie vipi. Still Klopp anafanya vizuri kwa sababu he is so good offensively pamoja na timu inacheza bila natural DM na defensively timu ina pwaya ila matokeo yanapatikana.

Rejea mechi tulizocheza pungufu muondoa Spurs ambaye that day they needed ref. And Matip to win, tulikuwa vizuri sana. Lucky enough our MFs now are scoring and assisting too. Mbaya ni hiyo tu kukosa mtu wa kubalance timu at the middle of the park.

But January we will try to secure long term DMF probably will be Andre trinidad
 
Vvd na penalty wapi na wapi[emoji1787]
Wenye nazo akina Fabinho na Milner wameshaondoka

Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Milner ni mzuri kwenye penalt

Kabisa Millie alijua kuzinyonga penalty. Vvd is good too kwenye penalties sema kwenye mpira CBs kuwa accurate kwenye penalty mtihani.

Kuna jamaa wa kuitwa Leighton Baines wa Everton beki yao ya kushoto alikuwa anafumua penalty kweli kweli. Penalty 25 kapachika 22.
 
Nambo ndio haya sasa tuliyomuwa tunayamiss..

MFs kufunga ama kutoa mipasi ya magoli..!!!

5-1
Maisha bila Cleansheet kama hayawezekani hivi yanakuja yanakataa.
 
Kama soon talisman atakua super Captain Chaos then like for like Salah is not needed as such kwa kua mfumo wenyewe utakua tofauti a bit..

YNWA
 
That means quality vs quantity.. Ni kweli depth imeongezeka kwamba sio tena timu ya mchezaji yule na huyu mbali ni collective contribution kwa kwenda mbele.. Hawa academy kids being given trials in real games nayo ni next level is kupunguza risk za injuries and saving energy season is still raw..
To increase quality ready made addition lazima kwa 1 CB na 1 DM.. Bajectic might take ages to get back to his level.. Endo seems like a wild card..

YNWA
 
Klopp must get this Samba boy at any cost... Kuchelewa akasepa kwingine itakua kosa kubwa. Kind of Enzo mistake aliyofanya Klopp, when talent is spotted with that price tag best idea wrap th deal

YNWA
 
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

One season wonder so they said... haya keep on wishing...

Jana dogo kafunga goli la 43 ikiwa ni rekodi mpya kufunga magoli mengi katika mashindano ya Uefa kutoka kwa mchezaji wa ligi ya EPL UK.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…