Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Yaani nilijua tuView attachment 2797335
View attachment 2797337
He delivers... Well make some noiseeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
YNWA
Nilijua tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Was waiting for your comment😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nilijua tuView attachment 2797335
View attachment 2797337
He delivers... Well make some noiseeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
YNWA
Hivi mko na hakika utd ni timu ya mpira? 😆Mimi Man U akichezea kichapo tu, roho yangu kwatu inatulia...
The boy delivered Miss Liverpool relax he is enjoying himself really much give him some space, 3 points won that th bottom line.Yaani nilijua tu
Nilijua tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Was waiting for your comment😂😂😂
Imagine bado hajajipata vzr huyuView attachment 2797353
View attachment 2797358
Angalau huyu dogo hii jezi anaitendea haki kiasi fulani.
Hata alipo the Great Steve G ana amani kabisa namba yake pendwa sasa imepata mridhi sasa.
YNWA
Sasa Salah akija kuondoka hii timu,The boy delivered Miss Liverpool relax he is enjoying himself really much give him some space, 3 points won that th bottom line.
Usimcheke dogo utaelewa yanayowakuta Chelsea na Manchester United pale mbele, hivyo uwe na utulivu. 😝😝😝
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 LoCrush wangu sobo
Hana mbambamba huyu dogo
Kumbe Matip ushambwaga hukoooo....Sasa Salah akija kuondoka hii timu,
Wanachokipitia Utd na Chelsea ndo tutaenda kupitia sisi.
Nyie mnasema Salah aondoke hamtutakii mema kabisa.
Yaani leo Bwana nilijua tu utaingia kumpamba dogo😂😂
Na hivi kafunga😂
Ngoja nicheck marudio bwana nione manuva ya mdogo wako,Jana sikuangalia.
I tell you that the way for greatness dogo mdogo mdogo tutaelewana.Imagine bado hajajipata vzr huyu
😂 😂 😂 😂 😂 Miguu ya nani 😂😂kweli wewe huyu dogo utamwelewa siku magoli yake yakikupa EPL trophy ama UCL maana tayari kashakupa kombe la Ligi msimu uliopita lakini wala humwamini...Salah akishika mpira anafyatuka kama Risasi, hana mbambamba.
Abaki
Aongezewe mpunga.
Salah kwa sasa hana mbadala.. na tukimwacha aende kwa kutegemea miguu ya kengeza Nuniez, Jota mzee wa kubadilika
Akiyanani hakuna picha hatutaacha kuona.
My favourite LFC player 😉View attachment 2797353
View attachment 2797358
Angalau huyu dogo hii jezi anaitendea haki kiasi fulani.
Hata alipo the Great Steve G ana amani kabisa namba yake pendwa sasa imepata mridhi sasa.
YNWA
Liverpool halisiVijana wapo sawa sasa
Liverpool HALISI tuzidi muombea Lucho baba yake apatikane hai
In Klopp,we believe
Kwanini Bobby huwa huoni dogo anavyokosa magoli ya wazi??😂 😂 😂 😂 😂 Miguu ya nani 😂😂kweli wewe huyu dogo utamwelewa siku magoli yake yakikupa EPL trophy ama UCL maana tayari kashakupa kombe la Ligi msimu uliopita lakini wala humwamini...
Jota nae niniiiiii... Mbona dogo yupo makini sana...
Salah ni pound for pound player best in the squad... Ame mature sanaaaa baada ya Bobby kuodoka amekua sasa ndio mchezeshaji pale mbele Klopp anasema amemuongezea majukumu na so far anayamudu vyema sana.
YNWA
Bobby hivi wewe huwa hupendi kucheka?
Wacha wee😂😂😂I tell you that the way for greatness dogo mdogo mdogo tutaelewana.
YNWA
LoL matipu ashaexpire😂 😂 😂 😂 😂 Lo
Kumbe Matip ushambwaga hukoooo....
Crush wako ni chuma kwa kweli.
Haha yaaani wewe unaangalia mech ukitegemea kwamba dogo Nunez ataharibu acha kujitesa bhana dogo mdogo mdogo anazidi kujiamini na kufumania nyavu mechi baada ya mech atakuja kufunga...
Strika ili awe clinical hua ni uwanjani sio pengine Klopp ampe dakika za kutosha...
Salah kuuzwa wala sio mie kura yangu ipo abakie ili mhmhmh FSG kama nawaona wanavyotoa macho kwa ule mpunga... Too bad kwao Salah is the best pia kwa biashara nje ya uwanja hivyo kum dispose sio jambo la kukurupuka...
Muda utasema.
In Klopp i Trust.
YNWA
Leo hata siwapongezi kwa ushindi, bali natupa wote wapenda mpira, wapenda utu na wapenda amani, pole kwa uhuni uliomkuta Luis Diaz na tuombe hao wapumbavu waliowateka wazazi wake wakamatwe na waadhibiwe vilivyo.
Wakikamatwa wanyongweLeo hata siwapongezi kwa ushindi, bali natupa wote wapenda mpira, wapenda utu na wapenda amani, pole kwa uhuni uliomkuta Luis Diaz na tuombe hao wapumbavu waliowateka wazazi wake wakamatwe na waadhibiwe vilivyo.
Na wakinyongwa wasife wateseke tuWakikamatwa wanyongwe
Na fimbo za kutosha wachapweNa wakinyongwa wasife wateseke tu