Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah hana mpinzani kwenye 1st Eleven
Hao wengine watagombania..
Ila kwa kweli pale mbele ni burudani.


Sawa Bobby..nasubiri wewe na mdogo wako mfunge bakuli langu[emoji23]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Utulie dogo Nunez yupo kikazi zaidi ujue.. Klopp hana wasiwasi nae anasema he is coming around mdogo mdogo wewe hapo ndio mwenye papara na huku twashnda naona ingekua vipigo ama sare ungekesha kwq babu kumshughulikia kama Henderson πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Sio kwamba uchoyo kapunguza, yaani kaacha uchoyo kabisaaaa [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Mdogo mdogo tutaelewana tu ndugu.

YNWA
Ngoja karudi tena kwenye default mode.
Uliona lile bao la Salah!?
Angekuwa huyo dogo pale unashangaa anakosa..

Sisi tunajua anajua kukimbia ,hilo hatuna shida nalo..ila sasa kumalizia ndio shida ilipo.Akili huwa anatunza mfukoni.

Anyway juzi akili yake ilikuwa active.
 
Tumgeenda kuchawia waarabu waje kumchukua.


Kama kukosa kwake magoli kutasababisha sare basi ajiandae,lazima tumsimange.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Once a Red always a Red ukae kwa kutulia miss Liverpool.

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Baba Apostle hupendi fujo.

Sawa Paroko[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Mimi wiki hii nashinda utd...hadi nipate chaka jipya.
 
Nyie mnasema Salah mchoyo
Sasa mlitaka atoe pass ambayo anajua inaenda kupotea?

Halafu ukianza kuangalia mpira hivi pale mbele utaona kila mtu mchoyo kwa nafasi yake.
 
Nyie mnasema Salah mchoyo
Sasa mlitaka atoe pass ambayo anajua inaenda kupotea?

Halafu ukianza kuangalia mpira hivi pale mbele utaona kila mtu mchoyo kwa nafasi yake.
Unless unasahau Mane alikua ananuna balaa kwa uchoyo wa hutu dogo.. Juhudi zimefanyika kumuonyesha kwamba ni tegemeo letu pale mbele kufunga na kutengeza.

Upo sahihi ma forwards wote kazi yao moja tu kufunga hivyo ka uchoyo kapo kapo...

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Baba Apostle hupendi fujo.

Sawa Paroko[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Mimi wiki hii nashinda utd...hadi nipate chaka jipya.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hapana sipendi fujo kabisa aisee uniache kwa wastaarabu hapa Liverpool sio fujo fujo...

YNWA
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Utulie. Inakuuma dogo anafumania nyavu..

Let's the numbers talk....

YNWA
 
Tupo na game leo
22:45

Haina haja ya kurisk sanaa
twende na mids ya Hendo, Jones na Elliot .
Ila forward iwekwe yenye hamu na magoal mechi iishe mapema.

YNWA
View attachment 2800349
MOTM wangu ni leo ni dogo Jarell Quansah, huyu ni zao la academy ya Liverpool alijiunga na Liverpool akiwa na miaka 5 na mpaka sasa ana miaka 20 hakika anaeleweka vyema na kwa hii progress anayoonyesha ni kazi safi huyu sio wa kwenda tena mkopo atulie pale pale mbadala wa VVD

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…