Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Personally I would like to see DM (Andre) over CB, Gomez, Matip, Konate, VVd and now Quansah hapa labda apungue mmoja ndio aletwe mmoja. Otherwise i don see that CB bila offload.
We are bit lucky kwa Matip na Gomez kutoumia kwa pamoja mpaka sasa. Konate well not that lucky. Hata bila kuwatoa its risky ku compete makombe yote ma nne na hao jamaa aisee maana Quansah kwa sasa lazima kuwe na game management kali yasije kumkuta ya Bajectic, Gomez kwa sasa namuona zaidi akiwa RB huku CBs wakiwa ni VVD, Konate, Matip na home boy Quansah, well kama Klopp akipata target kwa bei powa anunue tu kwa kweli maana gemu zimekua nyingi sana yaaani Europa, Carabao, EPL, FA na za kimataifa hivyo kikosi lazima kiwe kipana with quality over quantity.

YNWA
 
[emoji1431]
Naona itategemea na hali ya timu kufika january. Kama tutakuwa tumewaka hopefully tutasubiri tu summer. Maana tukiwa wagonjwa hiyo january tuliishia kuwapata kina Arthur Melo, Ben Davies, Kabak.
Wakati mwingine bhana unajiuliza hivi wale ilikua usajili ama PR ya Yankees kutuzuga mashabiki... Hivi Melo likua winter ama summer? I guess summer.

YNWA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo ndio Captain Chaos.

Magoli mepesi mepesi hafungi huyu ujue... Yeye ni yale magumu tu[emoji85][emoji85]. Hayo mepesi mpe Halland.

YNWA
Yesu wangu[emoji1787]
Huyu mtoto amekuroga,siyo bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Hilo li Haaland silipendi
Sema safari hii limepiteana,,Jini Bila KDB pale kati ni Baleke aliyechangamka[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpaka pale utakaposema salute Nunez ndio tutakwenda sawaa....

YNWA
Bwana bwana wee
Let us agree to disagree


Aluta continua,,dislike ziendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi atakapojua kufunga vizuri.
 
Ilikua intense game kwa kua hali ya hewa haikua powa kabisaaa. Kikosi kilikua well balanced huku tukitoka salama bila majeruhi wapya wala kadi.. Changamoto ni ile kucheza kutokea nyuma bado ni tatizo kubwa sana aisee especially kwa Kipa Kelleher. Mengine ni ya kawaida tu.
Tsimikas hakika amejipanga kuchukua namba ya Robbo azidishe tu bidii kwenye ma assist

YNWA
Yaani mie kucheza kutokea mbele
Sijui nyuma
Hata sielewi chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Nachojua mimi mpira ufike golini tufunge.
 
Akijifunza kutuliza akili golini atakuwa mchezaji mzuri sana.
Brighton🅰️
Everton🅰️
Toulouse ⚽️🅰️
Nottingham Forest ⚽️
Bournemouth ⚽️

@Darwin’s last five matches 👏
Should we say more ? 😅😅😅😅
Captain Marvelous huyu Miss Liverpool ana Chuki zake binafsi na Nunez
 
André on Liverpool’s interest:

“I follow the games a bit and I know that Klopp’s work is exceptional. Without a doubt, he is a great coach, very intelligent and successful.

PNG image.png
 
Brighton🅰️
Everton🅰️
Toulouse ⚽️🅰️
Nottingham Forest ⚽️
Bournemouth ⚽️

@Darwin’s last five matches 👏
Should we say more ? 😅😅😅😅
Captain Marvelous huyu Miss Liverpool ana Chuki zake binafsi na Nunez
😂 😂 😂 Let's the numbers do the talking brother.. Huyu miss Liverpool wetu soon atasema aaa nilikua najangamsha uzi bhana siku maanisha 😂😂😂..

Never doubt a real talent dry spell ipo lakini hua sio forever.

YNWA
 
Back
Top Bottom