Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
😂 😂 😂 😂 😂 Ndio maanake wale wenye vipaji maalum kama Nunez hua sio wa tap in 🙈🙈ni hard angales nk.Wee
Gakpo magoli yake ni mwepesi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo mpira upo mguuni ..
We are bit lucky kwa Matip na Gomez kutoumia kwa pamoja mpaka sasa. Konate well not that lucky. Hata bila kuwatoa its risky ku compete makombe yote ma nne na hao jamaa aisee maana Quansah kwa sasa lazima kuwe na game management kali yasije kumkuta ya Bajectic, Gomez kwa sasa namuona zaidi akiwa RB huku CBs wakiwa ni VVD, Konate, Matip na home boy Quansah, well kama Klopp akipata target kwa bei powa anunue tu kwa kweli maana gemu zimekua nyingi sana yaaani Europa, Carabao, EPL, FA na za kimataifa hivyo kikosi lazima kiwe kipana with quality over quantity.Personally I would like to see DM (Andre) over CB, Gomez, Matip, Konate, VVd and now Quansah hapa labda apungue mmoja ndio aletwe mmoja. Otherwise i don see that CB bila offload.
Wakati mwingine bhana unajiuliza hivi wale ilikua usajili ama PR ya Yankees kutuzuga mashabiki... Hivi Melo likua winter ama summer? I guess summer.[emoji1431]
Naona itategemea na hali ya timu kufika january. Kama tutakuwa tumewaka hopefully tutasubiri tu summer. Maana tukiwa wagonjwa hiyo january tuliishia kuwapata kina Arthur Melo, Ben Davies, Kabak.
Wewe edelea ku kopi ya mwaka jana tu mpaka sasa, mambo yamebadilika miss Liverpool...Mimi binafsi yangu Nuniez ni mtu wa mwisho kumwamini pale mbele😆
Yaani Salah,Jota ,Diaz,Gakpo halafu ndio Nunez.
Hapo nimewapanga kulingana na Imani yangu.
Sawa bwana BobbyWewe edelea ku kopi ya mwaka jana tu mpaka sasa, mambo yamebadilika miss Liverpool...
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Livapuli nawakubali sana musimu huu lazima muwe mabingwa [emoji36][emoji36][emoji36]
Hivi huyu wajina wa kaka yetu Boss Maxence MeloWakati mwingine bhana unajiuliza hivi wale ilikua usajili ama PR ya Yankees kutuzuga mashabiki... Hivi Melo likua winter ama summer? I guess summer.
YNWA
Wacha bwana[emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio maanake wale wenye vipaji maalum kama Nunez hua sio wa tap in [emoji85][emoji85]ni hard angales nk.
YNWA
Yesu wangu[emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huyo ndio Captain Chaos.
Magoli mepesi mepesi hafungi huyu ujue... Yeye ni yale magumu tu[emoji85][emoji85]. Hayo mepesi mpe Halland.
YNWA
Bwana bwana wee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpaka pale utakaposema salute Nunez ndio tutakwenda sawaa....
YNWA
Yaani mie kucheza kutokea mbeleIlikua intense game kwa kua hali ya hewa haikua powa kabisaaa. Kikosi kilikua well balanced huku tukitoka salama bila majeruhi wapya wala kadi.. Changamoto ni ile kucheza kutokea nyuma bado ni tatizo kubwa sana aisee especially kwa Kipa Kelleher. Mengine ni ya kawaida tu.
Tsimikas hakika amejipanga kuchukua namba ya Robbo azidishe tu bidii kwenye ma assist
YNWA
Siyo mzuri hivyo kama unavyotaka kutuaminisha[emoji1787]View attachment 2803080
View attachment 2803081
Wewe ishi kwa kopi haha dogo alishaanza rasmi kazi kazi unategemea afeli unisake na tochi dhubutuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23]...
YNWA
Mimi sijawahi kumuona kabisa, labda nika Google nowHivi huyu wajina wa kaka yetu Boss Maxence Melo
Alicheza mechi ipi na ipi!?
Mi nimesahau hata sura yake inafananiaje[emoji23]
Brighton🅰️Akijifunza kutuliza akili golini atakuwa mchezaji mzuri sana.
Kipande cha mtu.André on Liverpool’s interest:
“I follow the games a bit and I know that Klopp’s work is exceptional. Without a doubt, he is a great coach, very intelligent and successful.
View attachment 2803634
😂 😂 😂 Let's the numbers do the talking brother.. Huyu miss Liverpool wetu soon atasema aaa nilikua najangamsha uzi bhana siku maanisha 😂😂😂..Brighton🅰️
Everton🅰️
Toulouse ⚽️🅰️
Nottingham Forest ⚽️
Bournemouth ⚽️
@Darwin’s last five matches 👏
Should we say more ? 😅😅😅😅
Captain Marvelous huyu Miss Liverpool ana Chuki zake binafsi na Nunez