Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bayern Munich na Barca lazima washakaa tayari huko!!!..

Me naona aende huko akapate hata league title aisee!!!...LFC imeshashindikana tayari!
Ikiwezekana hata january aende tu kwenye timu kubwa ambayo atakuwa na uhakika wa kunyanyua kombe, ni aibu kwa mtu kama yeye aliyecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu kustaafu bila league title hata moja. Kwa Liver hata akae miaka mingine mitano hawezi kubeba. Kama anataka mafanikio ya Fasta aende La liga au BL (Ingawa La Liga na yenyewe kwa sasa haieleweki eleweki) , ila kama nia yake ni pesa nadhani ataenda zake US. Au mwisho wa siku akubali yaishe tu astaafu zake kama Jamie. Kama atabaki EPL mtu wa kwanza kumuulizia SG atakuwa ni Mourinho, jamaa anaoneka huwa anamkubali sana SG. Ila asilogwe kuhamia timu nyingine ya EPL.
 

SG..kuamia team nyingine ya EPL hawez yule..nadhan kama akitaka kuondoka destination yake itakuwa ni bayern au Barca..sana sana Bayern coz Guardiola anamtaka SG tangu last season!!!
 
Kwani club yake imeishasema apewi mkataba mwingine ??
Katumia NENO ' IF' kwenye maelezo yake Tayari mmeishampangia na timu ya kwenda !!!!!people ni hatarii
 
Kwani club yake imeishasema apewi mkataba mwingine ??
Katumia NENO ' IF' kwenye maelezo yake Tayari mmeishampangia na timu ya kwenda !!!!!people ni hatarii

Maana ya "IF" ni nini? Af soma vizuri hizo posts za juu, kinachozungumziwa hapa ni "possibility" ya timu ambazo anaweza akaenda kama ataondoka Liver na sio kwamba anapangiwa timu ya kucheza.
 
Maana ya "IF" ni nini? Af soma vizuri hizo posts za juu, kinachozungumziwa hapa ni "possibility" ya timu ambazo anaweza akaenda kama ataondoka Liver na sio kwamba anapangiwa timu ya kucheza.

Nimekupata
 
Maana ya "IF" ni nini? Af soma vizuri hizo posts za juu, kinachozungumziwa hapa ni "possibility" ya timu ambazo anaweza akaenda kama ataondoka Liver na sio kwamba anapangiwa timu ya kucheza.

SG atapewa mkataba mwingine nina uhakika kwa hilo!!Haipo team duniani ambayo ina vijana tu ktk dressing room yake!SG anahitajika mno kuongoza hawa vijana!!SG aondoke kwa sasa replacement yake ni nani?Huyu Emre?

Kama itatangazwa SG huru kuondoka siku hiyo hiyo Man City/Manchester United na Chelsea watamgombania
 
#Echo are saying LFC wanajiandaa kwa mazungumzo ya mkataba mpya na SG...

Pearce anasema PC is set to start kwenye game ya kesho!!!
 

Aliamua kuongea kwenye Media ili awape presha viongozi wa Liva waanze mazungumzo ya mkataba mapema. Uwezekano wa kupaki ni mkubwa, ila sidhani kama atapewa mktaba wa zaidi ya miaka 2. Jonson na yeye mkataba wake unaisha msimu huu ila wapo kimya na mkataba wake.
 
Game ya mapema leo. Liverpool vs New castle saa 8:45 saa za bongo. Liverpool inaendelea kuwakosa Danny Sturrige, Flanagan, jose Endrique ambao wapo clinic wakiuguza majeraha. New castle wao hawatakuwa na Papis cisse, Check Tiote, na willimson. Game ngumu ila new castle watapata. 2-1
 
Wazee wa jumba bovu munasemaje humu? New castle kwa sasa gari limewaka nawatahadharisheni mukaze lasivyo mwakani mutarudi kule kwenu kwa miaka yote.
 

Sawa tumekusikia Shehe Yahaya !!
 
Team gn itamtaka mzee huyo? Ye abaki 2 liver astafu na heshima zake asitake kulazmisha vitu wakati umri ushamkimbia!
 
Frank Lampard na SG nani mkubwa?Nani ana uwezo zaidi?

wote umri ushawakimbia FL 36 & SG 34 so uwezo wao uko ukingoni. Kwa team zeny malengo ya baadae hawawez kusajil wachezaji wa kaliba hiyo, zaid atachukuliwa kwa mkopo!
 

9:45 i.e 1545 masaa yamebadilika.
 
huu mziki mtamu sana,lazima mtadance.
 
9:45 i.e 1545 masaa yamebadilika.

ahsante kwa kuliweka sawa hili la muda...kama mkipoteza game ya leo, iman kwa Brendan Roger itashuka sana. Ataanza kuishi kwa pressure, kama unavyojua media za uk zilivyo na kiherehere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…