Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Waambie sasa wadau kuwa yeye siyo mashine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bhana kwamba yeye hanaga good day acha hizo, he missed clear cut chances ipo wazi he ain't a machine he is human ujue..
Human make mistakes kung'ang'ania hilo sio powa that by gone we look n aim higher... Haya kazi kwa Klopp kumkoza dogo awe na utulivu when afforded the chance.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe kumbe kama Chugga man upo LiveScore
YNWA
Ifike mahali klop aelewee kucheza bila natural Dm ni hatar sana ukikutana na timu km mancity ukajaa kwny mfumo wana kusimbalizeπ mara moja bila huruma.Klopp hua ni hardcore yaaani akiamini jambo basi anatulia hivyo hivyo... Imeshaonekana wazi wazi Macalister ile holding position anapwaya even under minimal presure, kwa mfano jana yule dogo aliefunga goli alikua far kabisa na kwenye 18 yao lakini alitoka mbio akampita Macalister na kwenda kumfunga goli simlaumu sana kwa kua yeye sio DM mzoefu mbali amepachikwa na Klopp...
Ethad DM acheze Endo hakuna namna otherwise Kipara will skin us alive.
YNWA
Nunez huwa ANAFUNGA KABLA HAJAFUNGA. Yaani akipata nafasi wazi ndani ya sekunde chache kabla hata hajaugusa mpira hujihesabia ameshafunga tayari, ndani ya sekunde zisizozidi mbili hilo jambo linafanyika, matokeoa yake ana-relax kufikiri kazi imeisha, anapoteza umakini kiasi akirudisha imagination yake katika vitendo kinachotokea ni disaster. Ni ndani ya Sekunde zisizozidi mbili.NuΓ±ez ni mchezaji mzuri,
Ila anahitaji mwanasaikolojia amtoe wenge ..
Jamaa anapapara sana ..ndio maana magoli ya hapa na hapa na kipa anafumua shuti utafikiri anataka kuuwa kipa..
Mipira mingi inatoka nje ya lango
Kwahiyo Bobby wewe huoni kama Nunez ndo sababu sisi kutoshinda jana? ππ π π Leo unaadika insha kabisa nakuona lol.. Lets the boy be mate.
2 point dropped that sucks.
Funny though hatushidagi ule uwanja.
We have seen worse than jana.
1 point take not the end of the world but of course utamuona Nunez ndio sababu π€π€kwa sababu wewe ni wakala wake kumdiss humu yaaani kama nakuona jana ulivyo furahi zile kosa kosa kosa...
We re group again... We go again.. Never give up.
YNWA
Captain Marvelous ambaye ni Kaka yake ,ameshasema kuwa hakuna tatizoNingekuwa mwanasaikolojia wake ningemfundisha kila apatapo nafasi atamke hayo maneno HAIISHI MPAKA IISHE huku anashoot, ingesaidia kupunguza makosa yake.
Mungu ampe Nini?Ningekuwa mwanasaikolojia wake ningemfundisha kila apatapo nafasi atamke hayo maneno HAIISHI MPAKA IISHE huku anashoot, ingesaidia kupunguza makosa yake.
Klopp is a weird Gaffer nakumbuka alimwamini Fabinho starting berth baada ya Henderson kuumia dogo akapewa dakika next akajikuta sii tena wa bench that Klopp nature man n th man ill never change... Hata huyu Nunez kuanza hizi game ni kwa kua Luncho ana changamoto ya babake kutekwa na Gapko angekua ana match fitness maybe angepewa dakika zaidi ya Nunez au Jota...Ifike mahali klop aelewee kucheza bila natural Dm ni hatar sana ukikutana na timu km mancity ukajaa kwny mfumo wana kusimbalizeπ mara moja bila huruma.
Physical fit Dm tulio nar kwny kikosi ni endo tu cha maana kabla ya january kufika angeanza kumtrust endo hata kwa kumuingiza dakika za 70 kila game again comfidence ya kutosha maana game zote tulizo poteza point shida ilikuwa kuanzia Dm.
Anamkosea macalister bure mpk atuoni natural talent yake kwa sbb yakumchezesha out of position
Game ya totenham tungekuwa na dm mzur tungemaliza game mapema although tulikuwa na kadi 2
Game ya chelsea ndo ilikuwa rahc sana kushinda na ubovu waliokuwa nao chelsea kwa sisi kukosa Dm tukawafanya watuchezee mpira vyakutosha wkt ilikuwa game ya kushinda
Hizi point anazopoteza klop kwa kukosa kufanya maamuz yanayostahili atakuja jutia come may
Hivi jana Salah alikua benchi vile... Mlete next game ampe dogo Nunez darasa namna ya kulengaπππMungu ampe Nini?
Amepata bahati ya kucheza na Mchezaji mkubwa na makini kama Salah..
Nadhani huwa anashuhudia Salah anavyofanya ukatili... Yaani anafukuzana hadi tone la mwisho.
Yeye sasa, ni kubutua tu na hajali chochoteπ€£
Nunez is just human i tell hizi miss za jana wala haziingiii kwenye kumi bora za terrible miss za wachezaji we have seen worse aisee ila kwa kua ni Nunez imekua ni ishu kwa miss Liverpool n crew...Captain Marvelous ambaye ni Kaka yake ,ameshasema kuwa hakuna tatizo
Ni siku mbaya tu kaziniπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Si ulisema anafunga exceptional goalHivi jana Salah alikua benchi vile... Mlete next game ampe dogo Nunez darasa namna ya kulengaπππ
YNWA
Sina mwenzangu bhana hili jukwaa huru bhaba wapo waliosimama na Henderson aisee n its was all fine na mimi nasimama na Nunez n its cool kabisa... Wewe hapo sasa ππππMimi leo siongei lolote
Yaani nawaangalia hadi mseme [emoji23]
Si unaona mwenzio kakusaliti,[emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo jana tu!Nunez is just human i tell hizi miss za jana wala haziingiii kwenye kumi bora za terrible miss za wachezaji we have seen worse aisee ila kwa kua ni Nunez imekua ni ishu kwa miss Liverpool n crew...
Kwani wengine waliambiwa jana goil la ushindi lazimq afunge Nunez πππ.. We win we win together we lose we lose together we draw we draw together..
YNWA
Huyu the Mona jana tu mlikuwa mnaongea lugha Moja kuwa Nunez ni mwambaSina mwenzangu bhana hili jukwaa huru bhaba wapo waliosimama na Henderson aisee n its was all fine na mimi nasimama na Nunez n its cool kabisa... Wewe hapo sasa ππππ
YNWA
Sio kila Jumamosi na mkate bhana ππππ ajabu huoni kile kichwa cha Salah alivyo kosa mpira ukatua kwa Nunez wewe unakomaa na ua Nunez tu haya edeleaaaa....Si ulisema anafunga exceptional goal
Haya, ngoja Salah ajifunze kwake hizo exceptional goal za kubutua mpira kama anaua kipaπ€£π€£π€£
He ain't happy kukosa point 3 muhimu kwa struggling team but its ain't the end of the world u know.. We have seen worse situations than this Miss Liverpool...Huyu the Mona jana tu mlikuwa mnaongea lugha Moja kuwa Nunez ni mwamba
Nashangaa amegeukaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mpira umetua mguuniSio kila Jumamosi na mkate bhana ππππ ajabu huoni kile kichwa cha Salah alivyo kosa mpira ukatua kwa Nunez wewe unakomaa na ua Nunez tu haya edeleaaaa....
Nunez mwenyewe hana noma wala nini he has the skin n balls to continue working for perfection..
YNWA
Yaani sisi kuona worst situation before, haibadilishi ukweli kwamba dogo anazingua[emoji1787]He ain't happy kukosa point 3 muhimu kwa struggling team but its ain't the end of the world u know.. We have seen worse situations than this Miss Liverpool...
I stand with Nunez come rain come sunshine am there all day my buddy hivyo wewe sepa [emoji23][emoji23]hukooo kwa King Mo na ma HB wako...
YNWA
Mambo ya Captain Chaos hayooπππππNunez sometimes anai cost sana hii team, yaani linakosa magoli ya wazi kabisa