Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwahiyo umemgeuka tena ndugu yako?Nunez sasa anatuvua nguo mchana kweupeeeeee, ile sio ya kukosa,. Pale hata angesubiri nusu sekunde angeweka tu,.
Nunez kila kitu anakifanya kwa usahihi movements za hatari, ila kupasia net ndio mtihani.
Ki ukweli anapaswa kuanza kuzomewa labda akili itamkaa sawa. Too much sasa.
Si ni nyie jana na Captain mmenisema humu kuwa mimi hater [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukimsema mnatuona haters[emoji23]
Sisi hatuna wasiwasi na kipaji chake cha kukimbia na bidii ya kusogeza mpira mbele na assist.
Shida inakuja akishapata mpira na yupo golini, anapata kiwewe... Chance kama hizo Salah huwa hafanyi makosa kabisa.
Mnakimbilia kusema ooh ameshascore magoli mengi, angalia records...sawa kascore na Klopp kamsifia...
Lakini sasa anayokosa ni mengi, tena kwa uzembe kabisa,, sehemu ya kupata yeye anakosa na sehemu ya kukosa anapata.
Sasa akiweza kupata sehemu ya kupata ndo tutaongea lugha Moja kwamba ni mwamba.