Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Itategemea na upepo, wa ligi ya wasaudi ila mpaka sasa imepoteza mvuto, kulinganisha na miezi mitano nyuma
Yaani haivutii kwa kweli
Kama anataka aue kipaji chake basi aende huko.


Ligi za uingereza waongeze pesa aisee,waache ubahili

Inasikitisha wachezaji wengi wazuri wanakimbilia uarabuni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ombeni aendelee kuimprove hivihivi
Vinginevyo aisee,hautakunywa maji humu[emoji38]
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Screenshot_20231105_004836~2.jpg


Una makengeza wewe si bure 😂😂😂
Klopp kocha bora huyo hapo msome.

YNWA
 
Hii game Nunez atatupia ndani yani ikiwezekana ndiyo game ya kujipigia Hat trik hii
 
Back
Top Bottom