Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ilikua intense game kwa kua hali ya hewa haikua powa kabisaaa. Kikosi kilikua well balanced huku tukitoka salama bila majeruhi wapya wala kadi.. Changamoto ni ile kucheza kutokea nyuma bado ni tatizo kubwa sana aisee especially kwa Kipa Kelleher. Mengine ni ya kawaida tu.
Tsimikas hakika amejipanga kuchukua namba ya Robbo azidishe tu bidii kwenye ma assist

YNWA

Ujue nilipoona hali imekuwa vile hasa 2nd Half, nikaanza kucheka mwenyewe tu. Nikakumbuka JK alipokuwa kwenye post match akisingizia hali ya hewa hapo mmepigwa kikosi hovyo, asemi hali mbaya ya kikosi aa, upepo ndio sabbu. Pamoja na kushinda upepo uliongelewa bado….
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpaka pale utakaposema salute Nunez ndio tutakwenda sawaa....

YNWA

Huyu sio doubt tena, Gari limewaka,. Alikuja wakati usio sahihi.

Ujue kuna muda timu inakuwa vibaya kiasi mambo mabaya yanawaandama tu. Zile penalty za Salah kukosa wakati muhimu. Injuries za ajabu tu, missed chances za kutosha.

But this season they will greet him in the name of DARWIN NUNEZ…!!!
 
We are bit lucky kwa Matip na Gomez kutoumia kwa pamoja mpaka sasa. Konate well not that lucky. Hata bila kuwatoa its risky ku compete makombe yote ma nne na hao jamaa aisee maana Quansah kwa sasa lazima kuwe na game management kali yasije kumkuta ya Bajectic, Gomez kwa sasa namuona zaidi akiwa RB huku CBs wakiwa ni VVD, Konate, Matip na home boy Quansah, well kama Klopp akipata target kwa bei powa anunue tu kwa kweli maana gemu zimekua nyingi sana yaaani Europa, Carabao, EPL, FA na za kimataifa hivyo kikosi lazima kiwe kipana with quality over quantity.

YNWA

Yeah..!!! Kinachofurahisha Klopp anajua Konate he is not strong when it comes to injury. So i expect coming summer LCB atakuja Anfield file kubwa lipo kwa Piero Hincapie wa Leverkusen, na October hapo wakala wake alithibitisha mazungumzo bado yanaendelea ili atue summer ijayo. Huyu jamaa ni CB and LB

Kwa hiyo unaona kabisa, Klopp is willing kuchukua LCB wa aina yake. Na huenda ikawa even January
 
Hivi huyu wajina wa kaka yetu Boss Maxence Melo
Alicheza mechi ipi na ipi!?
Mi nimesahau hata sura yake inafananiaje[emoji23]

Alicheza mechi ya Champions league tukicheza na Napoli.

Aliingia dk ya 77’ na ndio ikawa mwisho wake mpaka anaondoka
 
Brighton[emoji2402]
Everton[emoji2402]
Toulouse [emoji460]️[emoji2402]
Nottingham Forest [emoji460]️
Bournemouth [emoji460]️

@Darwin’s last five matches [emoji122]
Should we say more ? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Captain Marvelous huyu Miss Liverpool ana Chuki zake binafsi na Nunez

Nunez atamkomesha tu..!!! Dawa yake huyu ni kumuandama tu kila Nunez akihusika kwenye Goli.

Ila Nunez nae asituvungue nguo tu, maana hakawi saaaana.

So far ame improve compare na last season. Nachokipenda ni ile ari ya Kops wanavyo muimba atleast anaona kumbe naweza kumbe i have supporters regardless of what im going tbrough..!!! He will rock it
 
André on Liverpool’s interest:

“I follow the games a bit and I know that Klopp’s work is exceptional. Without a doubt, he is a great coach, very intelligent and successful.

View attachment 2803634

Dah.! Mkuu huyu jamaa tumpate kwa namna yoyote ile yasije kuja kuwa majuto huko.

Affordable price £19M na mshahara wake hautazidi 130k per week.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] He doesn't score tap ins huyu hua zile goli exceptional

Mashabiki wanavyopenda wanampa shangwe hata akiwa benchi yaaani ni full ma singo yake...

Wewe kaa na, ma HB wako hukoo mkitegemea dogo avuruge uingie humu mazima.. Well kaa kwa kutulia

YNWA

Na hili ndilo huwa lanivutia hasaaaa..!!! Nunez Nunez Nunez,. Akiingia ni assits au Goli.

I like how Salah anampa mipande.
 
ab4b3002-00f3-4494-ad87-577a89760cdf.jpg

Huu mpira huu.

Arteta aliyazungumza haya baada ya ile controversial mechi yetu na Spurs. Leo kimemkuta sijui officials are still deserve support??
 
Na hili ndilo huwa lanivutia hasaaaa..!!! Nunez Nunez Nunez,. Akiingia ni assits au Goli.

I like how Salah anampa mipande.
Nunez is a special kid, amazing person anasema Klopp.. Well tunaanza kuona why Klopp ambae si muumini wa kununua wachezaji ghali ali sanction hii dili lifanyike..

Combination ya Faza Mo Salah na Captain Chaos inaanza kueleweka aisee. Sasa January atue dynamic Andre ili Domy na Mac wasogee near the attacking line n we are sorted kabisa...

YNWA
 
Nunez atamkomesha tu..!!! Dawa yake huyu ni kumuandama tu kila Nunez akihusika kwenye Goli.

Ila Nunez nae asituvungue nguo tu, maana hakawi saaaana.

So far ame improve compare na last season. Nachokipenda ni ile ari ya Kops wanavyo muimba atleast anaona kumbe naweza kumbe i have supporters regardless of what im going tbrough..!!! He will rock it
At Liverpool we support our own regardless of th form, they are pampered na singo huku wakipata ma hug kama yote kutoka kwa Klopp na ndio maana even when th going get tough Klopp always stand wit th players its kind off huona juhudi zao mazoezini na jitihada uwanjani namna vijana wanavyopambana aisee...

Na mwisho wa siku ni You'll Never Walk Alone iwe dry spell, loss of form nk nk mashabiki wapo pamoja nao

Never Give Up..
Robertson did it's..
Nunez heading there..
Tsimikas getting there..
In life ni kupambana tu hakuna namna

YNWA
 
Yeah..!!! Kinachofurahisha Klopp anajua Konate he is not strong when it comes to injury. So i expect coming summer LCB atakuja Anfield file kubwa lipo kwa Piero Hincapie wa Leverkusen, na October hapo wakala wake alithibitisha mazungumzo bado yanaendelea ili atue summer ijayo. Huyu jamaa ni CB and LB

Kwa hiyo unaona kabisa, Klopp is willing kuchukua LCB wa aina yake. Na huenda ikawa even January
Hincaple naona ni moto sana almost all transfer gossip site wanamhisha kutua Anfield kwa kweli aje..
Kipara kwenye defence karibu kila dirisha kuu ananunua aisee na tazama bei za aliowanunua ni noma Diaz over p60m, Gravdo over p65m nk utaona ili aweze kucheza his usual high line anahitaji beki imara kuedana na mfumo wake na trophy wise means he is on th right track...

FSG hua ni wa hovyo sana aisee na wana bahati sana Klopp falled in love na klabu otherwise ingekua Conte au Mourinho muda tu washamwagana.

YNWA
 
Sure, pale ni tupate DM. Najua coming summer Thiago atasepa hii ni sure 100% huo mshahara apewe Andre 150k nyingine tutafute RB tukamchukue Cash na TAA aingie MF moja kwa moja..!!!
Thiago bhana sijui huu ushauri wa kutua EPL alimpa nani... Hii ligi sio ya Indian biscuits bones anahitaji hard core players... Kimsingi huu usajili ni hasara kubwa.. Amfuate Messi huko Miami.

YNWA
 
Huyu sio doubt tena, Gari limewaka,. Alikuja wakati usio sahihi.

Ujue kuna muda timu inakuwa vibaya kiasi mambo mabaya yanawaandama tu. Zile penalty za Salah kukosa wakati muhimu. Injuries za ajabu tu, missed chances za kutosha.

But this season they will greet him in the name of DARWIN NUNEZ…!!!
😂 😂 😂 Imagine apo pale mbele ukitegemea pasi kisu kutoka kwa Henderson au Milner aaa not coming kabisa lakini sasa timu ina super harmony mdogo mdogo guys are getting kuelewana na taa imewaka..

YNWA
 
Back
Top Bottom