Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ni Hatari sana mwambaSamba boy, anazijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Hatari sana mwambaSamba boy, anazijua.
Hapana kwa kweliSalah penalty anazinyonga haweki ubishoo
Yaani haivutii kwa kweliItategemea na upepo, wa ligi ya wasaudi ila mpaka sasa imepoteza mvuto, kulinganisha na miezi mitano nyuma
Atulie hivyohivyoView attachment 2804082
Huu mpira huu.
Arteta aliyazungumza haya baada ya ile controversial mechi yetu na Spurs. Leo kimemkuta sijui officials are still deserve support??
😂 😂 😂 😂 😂 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ombeni aendelee kuimprove hivihivi
Vinginevyo aisee,hautakunywa maji humu[emoji38]
Duuu kwa hio Gomez ni LB.Tunaua mbu na bunduki leo.
View attachment 2804987
leo mkuu unaenda kiwanjani au unatizamia homeYNWA [emoji3531]
Jamaa nimemchomoa nyota moja kabakiza mbili.Nunez [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!😂🙌Hii game Nunez atatupia ndani yani ikiwezekana ndiyo game ya kujipigia Hat trik hii