Apangwe nafasi anayotaka kucheza.
Hata hivyo hiyo mechi wote tu walizembea kudefend,,siyo Trent pekeyake.
Kwa expense ya nani?
Szobo?
Macca?
Jones?
Grav?
Elliott?
Endo?
Thiago & Bajcetic when fit?
And, ye ni nani mpaka achague kucheza sehem anayotaka?
Salah, top 5 greatest LFC player of all time, and arguably our best attacker ever, maybe after Ian Rush, msimu uliopita alikuwa chalked kwenye touch-line karibia msimu mzima, na hukuona stupid/negative reaction kutoka kwake, because he's a team player.
Who is Trent?
He can be replaced in seconds at right back, actually its hard to replace Robertson kuliko Trent kwenye upande wa fullbacks.
Jana, Gakpo, an attacking player (Winger/forward), was played at 8, na he put in a good shift (Macca, Jones, Grav wote walikuwa out), Klopp didnt trust Elliott because bado anajitafuta kwenye his physical side. Gakpo had to step up & he stepped up, so who is Trent?
You know Wijnaldum was an AM? Klopp turned him into a holding MF and run him into the ground.
You know Firmino, was a 10? Klopp turned him into a 9, and run him into the ground.
NOW, Gomez amekuwa makeshift CB, LB, RB.
Macca, getting screwed as a lone DM kila match.
Kwahiyo nao wamwambie Klopp awechezeshe sehemu wanayotaka? kwa kipi?
You know how big LFC is kwa mtu kama Trent?
SG kwenye his LFC career, hakucheza kama GK tu, he almost played kila role at LFC.
And, to show you how lazy Trent was for that Toulouse goal, Milner (37 years old) angekuwepo tena as a makeshift RB, lile goal lisingetokea.
Then, LFC comes first before any players, zimepita World Class talents, but LFC bado ipo.