zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
Leo nawaombea marastafarian kwa nguvu zote 😄 🤣Mungu bariki Marasta FC
Yaani mwezi huu nawaombea sana😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nawaombea marastafarian kwa nguvu zote 😄 🤣Mungu bariki Marasta FC
Yaani mwezi huu nawaombea sana😂
Yaani ninavyosubiri kwa hamu kuangalia hii mechi🔥🔥🔥Endo leo kafanya makubwa , Klop amuamini
Ulitaka waende kwa pantoni?
Rastaferian for lifeLeo nawaombea marastafarian kwa nguvu zote 😄 🤣
VAR is drunk master bro wana makengeza si bure... The law is very clear as per ua highlight there... Haya mambo wakati mwingine sielewi niaje niaje.... Nwa cha msingi tusisubiri VAR itaamka aje siku hio tupambane wenyewe tushinde tu hakuna namna hapa.Macca didnt hand the ball, it was just a VAR blunder, the rules are wide open.
Na hata kama rules zingekuwa zinasema otherwise, after Macca incident, there were 6-7 passes zilizochezwa kati LFC na opponents kabla ya goal, and the rules about this are clear aswell.
This is UEFA (new rules about handball).
View attachment 2811296
Yupo aliekataa hilo?Salah ni mfalme wa mpira[emoji91][emoji108]
Klopp bhana😂😂....Endo leo kafanya makubwa , Klop amuamini
Najua wote tunajua ni mwambaYupo aliekataa hilo?
King Mo Salah.
YNWA
Endo amesababisha VVD leo aonekane kijana wa moto 😄 🤣Klopp bhana😂😂....
Endo anahitaji kuaminika tu na namna bora apewe dakika za kutosha atakaa sawa...
YNWA
Makosa ni sehem ya mchezo mbona Leo kamtumia?kama si bange zake ni nini?Sema naye mikasi kazingua sana😂
Bao la kwanza tumewekwa Kwa sababu yake .. anakuwa mlegevu utadhani alishindia milenda .
Bao la kwanza lawama Kwa Tsimikas.
VVD bhana kuna muda anasinzi utadhan yupo mazoezini aisee...Endo amesababisha VVD leo aonekane kijana wa moto 😄 🤣
Ughonile Malafyale😂Liverpool HALISI
Tunaenda intern break tukiwa pazuri sana.Tuwaombee vijana warudi vizuri
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ni dhahiri sasa waarabu watarejea na kitita kizito saba kwa kua dogo ameonyesha umri kwake sio ishu anaweza ku perform at high level...Najua wote tunajua ni mwamba
Ila ndio hivyo tunakumbushana tena..
Jamaa ni mwamba sana,,,aisee siku anaondoka liver nahisi ntazimia🤣
Hela zao za mafuta wabaki nazo.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ni dhahiri sasa waarabu watarejea na kitita kizito saba kwa kua dogo ameonyesha umri kwake sio ishu anaweza ku perform at high level...
Tupo katika mikono salama ya Captain Chaos na Jota why worry miss Liverpool ☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈😋😋😋Nakuonaaaa povuuu
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 Klopp na FSG wako bizy wana profile wachezaji wa kuja kumridhi Salah mapema sana uanze kuji console huyu ni wa kuodoka come June 2024...Hela zao za mafuta wabaki nazo.
Salah anajitambua,
Anacheza mechi za kishua.
Na yeye mwenyewe sifa anazipenda,,, hawezi ondoka kirahisi.
Ni wa kumpa mshahara anataka yeye aendelee kubaki.
Weeh, Bobby tupo mikono salama ya nani vile? 🤣
Hao wote wanabadilika muda wowote
.. Salah ni yeye yule jana na leo hata na kesho🔥
Ntaroga watu aisee😆😆😆😂 😂 😂 😂 😂 Klopp na FSG wako bizy wana profile wachezaji wa kuja kumridhi Salah mapema sana uanze kuji console huyu ni wa kuodoka come June 2024...
Tupo in safe hands ya Gabriel Ribiero na wenzie pale mbele 😆 wata raise tu no worries here😂😂😂
YNWA