Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attacker ambaye alikuja na ku-set his mark straight-away alikuwa ni Salah tu.

Mane, had to wait misimu miwili kufikia mark ya 20 goals, na katika misimu yote 7 aliyokuwepo LFC, alifikisha goals 20 (22 to be precise) katika msimu mmoja tu 2018/19, and that was his best scoring season.

Firmino hajawahi kufunga goals 20 per season kwenye PL, kuna msimu he had only 5 goals kwenye 20 outings (2021/2022), his highest scoring tally kwenye league kwenye league ilikuwa ni 15 goals in 2017/18, 2019/20 & 2020/2021 Firmino alifunga goals 9, 9 tu katika 35+ outings, and he was our out & out number 9, na hii misimu hakuwa na injuries zozote, because you can excuse his numbers msimu wa 21/22 kwasababu ya injuries, but misimu mingine? NO, so mlikuwa wapi kum-bash Firmino? number 9 aliyekuwa anasifika zaidi kwenye his defensive work kuliko kufunga goals? mbona mlikuwa hamsemi waliotoka nyuma yake walikuwa hatari? (Suarez, Torres etc?) when Firmino was recording low numbers of goals kila msimu, hakukuwa na fans waliokuwa wanam-bash humu, kwasababu kile alichokuwa anafanya uwanjani kilikuwa kinaonekana, umuhimu wake na how he kept & glued our attacking trio was magical.

Now, Nunez anafunga, assist, press, defend, etc (Salah & Jota ni wanufaika wakubwa sana wa Nunez runs/pressing work msimu huu), but akikosa 1 big chance, tunataka tuje ku-score points humu? how many big chances Mane alikuwa anakosa? achana na Firmino/Salah, Mane alikuwa alikuwa ana-record BCMs ngapi kwa msimu? kulikuwa kuna haja ya kushupaza vichwa? unataka ST ambaye ha-miss big chances? utampata wapi? LFC fans back then wasingekuwa patient na kina Torres & Suarez wasingefika kwenye level walizofika.
Anazokosa Nunez yaani mtu unabaki mdomo wazi
Yaani kwa kweli zinashangaza sana
 
This is Trent.

Is this the Vice Captain? tujiulize HAWEZI ku-defend au HATAKI ku-defend? anajiona kama he's too good kuwa RB?

Kama ni mtu wa mpira, utaelewa kuwa gap/void na suala la ku-mark/time runs ni rahisi sana kuwa coachable, hasa kwa RB/LB, but what was Trent doing? ni kweli hakuona au ku-anticipate runs runs za huyu jamaa? how can you be a professional footballer na ku-defend kama hivi? tena ukiwa Vice captain? and this was the moment baada ya kurudisha goal moja (we were back in the game), then Vice-captain anafanya hivi.

This is just a player who doesnt want to DEFEND, hataki kucheza at RB, Trent wa zamani alikuwa ana shida kidogo kwenye ku-defend, but atleast angeweka efforts za kujaribu kuzuia/time runs, push the player kwenye corner flag, au ku-man mark his runs, but now, he wasnt even interested kwenye hii clip.

I have been following Trent since he was 14-15, and i always thought he was the next big thing kutoka kwenye our academy, Yes, he was a midfielder back then, but Klopp, saw something extra kwake, decided to mould him kama RB, japokuwa alikuwa na few weaknesses (understandable), he perfected the role vizuri sana, he changed the RB game, but at 25 he feels like ame-outgrow role yake at RB.


View: https://twitter.com/Fs_Laputa/status/1722730266941346190?s=19

Mkuu
Unamuona Trent tu pekeyake?
 
Macca ametuponza kivipi?

That was a VAR blunder, not Macca's fault.

That was not a handball, accoring to UEFA & IFAB rules.

Refs & VAR had a blunder.

Y'all need to watch football more.
Kwahiyo kumbe hakunawa pale?
 
People are blaming Alexis for his shortcomings at 6, na kumuacha Klopp ambaye anamchezesha an Attacking Midfielder at DM.

I've been saying for a little while, Macca ana good defensive actions, but he cant sit at 6 alone, we need to deploy a pivot kwa kipindi hiki.

People, wanafikiri kucheza lone 6 ni rahisi kwenye modern football, na as LFC fans mifano hai tunayo, Fabinho was finished at 29, (TWENTY NINE) kwasababu ya kuwa deployed as a lone DM, demands za kucheza as a lone DM kwenye set-ups za mpira wa sasa ni kubwa, you have to cover/defend big spaces/Voids, it needs a natural DM, ku-perfect this.

Having Macca at 6, siyo mbaya for the mean-time, but he needs a balancer (At Brighton he had Caicedo, Argetina mara nyingi its him + Enzo/De Paul/Paredes/Guido etc but its always in a pivot).

This was Klopp, akimuongelea Macca and his role mwanzo wa msimu, why cant fans accept kuwa suala la Macca kutochezeshwa on his stregth ni kosa la kiufundi na siyo mchezaji? these were the same fans waliokuwa wanasema Gakpo ni flop, because a winger/forward wasnt performing well at 8.

View attachment 2811284
Macca alone at Lone Six is suicidal man n Klopp is a brave he always go for what's he believe is the solution n so far this season he has failed at times to get the best of Macca without a double pivot its won't work man.

Modern day 6 is workaholic with pace n high calculation to study th game efficiency n to be true they aint many out there, my favourite for now is Rodri at Manchester City that the pace maker for any aspiring signings...
Our Fabinho was the best cooling the threat without shedding any sweat woow but to bad hakua na like for like at Liverpool.
Tazama rekodi ya Fabinho, alijiunga Liverpool mwaka 2018 kimya kimya...
*amecheza jumla mechi 219 *akishinda mechi 139
*akitoa sare mechi 40
*na akipoteza mechi 40

Ni rekodi safi kabisa. Imeleta all major trophies at club level kwake.

Ukitazama msimu wake wa mwisho utaona majeruhi na kushuka kiwango zilimnyemelea kwa kua kazi yake sio ndogo aisee. Akiwa sweeper kuhakikisha Trent na Robbo wakishambulia basi hatari kwetu anaizoma kabla haijatudhuru.

So Macca hizi viatu havimtoshi kamwe maana by trade huyu sio namba yake ni kwa kua tuna mapungufu hakuna namna mwalimu anaona anafaa zaidi kucheza pale.

Come Winter tunahitaji kuona usajili kama hawa waliopo Klopp hawezi kuwatumia kama double pivot au lone Endo nk nk maana hata Bajectic majeruhi yake sio kwa bahati mbaya ni kwa kua majukumu ni makubwa sana hii nafasi na dogo yalimkuta na mpaka sasa hajakaa sawa.

YNWA
 
Back
Top Bottom