Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo nawaombea marastafarian kwa nguvu zote 😄 🤣
Rastaferian for life

The blues chama kubwa😂🔥🔥🔥🔥
Akimchapa tu city leo yaani tunapanda juu OMG I can't wait kuwa kileleni

Yaani Chelshit leo wakishinda alo🤣🤣🤣🤣
 
Macca didnt hand the ball, it was just a VAR blunder, the rules are wide open.

Na hata kama rules zingekuwa zinasema otherwise, after Macca incident, there were 6-7 passes zilizochezwa kati LFC na opponents kabla ya goal, and the rules about this are clear aswell.

This is UEFA (new rules about handball).
View attachment 2811296
VAR is drunk master bro wana makengeza si bure... The law is very clear as per ua highlight there... Haya mambo wakati mwingine sielewi niaje niaje.... Nwa cha msingi tusisubiri VAR itaamka aje siku hio tupambane wenyewe tushinde tu hakuna namna hapa.

Ila ile game ilikua tough, local fans turned in numbers what's a game that was....

Next game Klopp apange kikosi cha kumaliza kazi mapema haya mambo ya kusubiri last game hapana.

YNWA
 
Sema naye mikasi kazingua sana😂
Bao la kwanza tumewekwa Kwa sababu yake .. anakuwa mlegevu utadhani alishindia milenda .
Bao la kwanza lawama Kwa Tsimikas.
Makosa ni sehem ya mchezo mbona Leo kamtumia?kama si bange zake ni nini?
Jambo lengine la hovyo ni kuwapanga pamoja Jota na Nunezi anajikaba mwenyewe kwa kupunguza umiliki wa mpila.
Na Ile mechi Kuna alicho jifunza Leo kaanza kuingiza makinda. Mana akisha kariri watu wake ndo baaaasi
 
Endo amesababisha VVD leo aonekane kijana wa moto 😄 🤣
VVD bhana kuna muda anasinzi utadhan yupo mazoezini aisee...

Klopp hua ni hard knock yaaani mpaka kumwamini new comer ile HM ni tatizo sana... Fabinho alisubiri almost miezi miwili kuja kupata game time huku akiwa na rekodi safi kabisa alikotoka... Imagine Fabinho alisaini 1/7/18 lakini muda wote huo kukaa na jopo la Klopp haikutosha apewe dakika mapema mpaka i guess mwezi wa September ndio Klopp akaona dogo is ready, itakua jambo njema sasa na dogo Endo kuaminika ile nafasi japo ni short term solution anatufaa sanaaa kwa sasa...

So mnasema aje sasa mbele yake Endo acheze nani Gravenberch, Domy au Macca.

YNWA
 
Najua wote tunajua ni mwamba

Ila ndio hivyo tunakumbushana tena..
Jamaa ni mwamba sana,,,aisee siku anaondoka liver nahisi ntazimia🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ni dhahiri sasa waarabu watarejea na kitita kizito saba kwa kua dogo ameonyesha umri kwake sio ishu anaweza ku perform at high level...

Tupo katika mikono salama ya Captain Chaos na Jota why worry miss Liverpool ☺️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈😋😋😋Nakuonaaaa povuuu

Hela zao za mafuta wabaki nazo.

Salah anajitambua,
Anacheza mechi za kishua.

Na yeye mwenyewe sifa anazipenda,,, hawezi ondoka kirahisi.
Ni wa kumpa mshahara anataka yeye aendelee kubaki.

Weeh, Bobby tupo mikono salama ya nani vile? 🤣
Hao wote wanabadilika muda wowote
.. Salah ni yeye yule jana na leo hata na kesho🔥
 
😂 😂 😂 😂 😂 Klopp na FSG wako bizy wana profile wachezaji wa kuja kumridhi Salah mapema sana uanze kuji console huyu ni wa kuodoka come June 2024...

Tupo in safe hands ya Gabriel Ribiero na wenzie pale mbele 😆 wata raise tu no worries here😂😂😂

Ntaroga watu aisee😆😆😆
Yaani ntaroga hadi Salah abaki
Turudi Kwa Babu😂

Hata Salah hataki ligi za matopeni uarabuni huko. Nani atamuangaliq?
 
Bora waende huko maana walianza kumnyatia kiungo punda baada ya kuonesha Nia ya kuondoka kwenye team yenye mashabiki wapole na wasio na fujo kwa infatino na Motsepe
 
Back
Top Bottom