OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hiyo game munapigwa, nyie sio Chelsea.YNWA Next Game Na man city Salam zimfikie Pep we gonna f** him very Hard tukiongoza league imeisha hiyo tukutane mwakani
Hamuna mupira wa kumufunga man sitee nyie, juzi mumebahatisha mvimba macho mmoja basi tayari mushajipa uwakika wa kuongoza ligi 😂😂Tunaenda kumkaanga shyte kwake hukohuko
Brentford apige miarse8
Aston villa ayatandike maspurs
Mungu bariki maombi yangu,Amen.
Ohoo bangi tenaa.Trent, Elliott & Jones ni heavy weed smokers.
Think the weed is starting to take its toll on Trent.
We are slowly losing him.
Asipokuwa makini, atapoteana kama Dele Alli.
Hiyo game munapigwa, nyie sio Chel.
Tutaleta feedback hapa. Mechi ya juzi imewapagawisha mnajiona kama mmechukua ubingwa kumkazia man city hahahah HongereniHiyo game munapigwa, nyie sio Chelsea.
Ila nawaombea muwe mabingwa musimu huu
Subiri utaona wanaume tunavyosakata kambumbuHamuna mupira wa kumufunga man sitee nyie, juzi mumebahatisha mvimba macho mmoja basi tayari mushajipa uwakika wa kuongoza ligi [emoji23][emoji23]
Wale Mkuu ndio wale wanaitwa wasindikizaji waliobeba taa zao bila mafuta [emoji23]
Hawawezi kubeba
Sema wanangu mlikaza miguu mabwege nyie [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa pambaneni sisi mwakani tutakuwa bega kwa bega, hatua kwa hatua point kwa point so msipochukua this time mjue mwakani hamna chenu[emoji23][emoji2093][emoji2093][emoji2093]
Wewe ni mwehu sana ujue😂Nimemkumbuka Milner na Henderson
Sisi tunakuja taratibu hatuna mbambamba na tu kukaa sawa mutakula tano tano za kutosha, imagine salah jua la jioni afu kuna madogo kaa kina Jaskonii, na palmer wanakiwasha balaa. Musimu huu tunahakikisha top foo atuikosi. Ili musimu ujao tuwanze kukusanya makombeTutaleta feedback hapa. Mechi ya juzi imewapagawisha mnajiona kama mmechukua ubingwa kumkazia man city hahahah Hongereni
Labda top foo ya kuvuta bangi 😂Sisi tunakuja taratibu hatuna mbambamba na tu kukaa sawa mutakula tano tano za kutosha, imagine salah jua la jioni afu kuna madogo kaa kina Jaskonii, na palmer wanakiwasha balaa. Musimu huu tunahakikisha top foo atuikosi. Ili musimu ujao tuwanze kukusanya makombe
#CFC💙💙💙
Endelea Kuishi kwa Matumaini Mimi Liverpool unifananishe na hiyo Chelsea yako ya Pochentino aliyekuwa na kila kitu pale PSG na bado akashindwa kufikia malengo Ivi Mngemfunga City Iñgekuwaje? maana mmepagawa na Sare PatheticSisi tunakuja taratibu hatuna mbambamba na tu kukaa sawa mutakula tano tano za kutosha, imagine salah jua la jioni afu kuna madogo kaa kina Jaskonii, na palmer wanakiwasha balaa. Musimu huu tunahakikisha top foo atuikosi. Ili musimu ujao tuwanze kukusanya makombe
#CFC💙💙💙
🤣 🤣 🤣 🤣 Duuh Thiago hakuaweza ku survive na haya majeruhi ni pagumu sanaaa EPL noma sanaaa.Hujamalizia kusema his body is made of indian biscuits 🤣
Seems VAR is jinxed kwa EPL maana kila kukicha ni vituko vipya hata iweje too much bhana... Zamani walichukua muda wa kutosha ku review matukio mashabiki wakalalamika muda unakua mwingi inakata stimu ya mechi, baadae wakaja msimu huu kupunguza sana kumtuma refa kwa pitch side Tv lakini wapi mambo ni vile vile hapatoshi makosa ndio yamekua kama yote...Howard Webb, was one of the worst referees in the world, its astonishing kuwa he's the head of PGMOL now.
We need a lot of managers/coaches kuendelea kupigia kelele blunders za VAR, ili kuongeza chachu ya mabadiliko.
When Klopp was moaning about VAR after ile VAR blunder, the whole football world ilikuwa inamcheka, but now imetokea kwa almost every other club in the league.
We need to get rid of it.
We are the victims of early kickoffs, tena nyingi ni after international breaks, na sidhani kama ni coincidence.
Bajectic is raw talent not polished yet he need a senior DM to learn the trade properly, so if i were Klopp mpaka sasa amejua Liverpool DM is so demanding sio ishu ya dogo aisee atarudi tena wodini...Think Thiago Hip surgery went kinda wrong, and Klopp doesnt want to rush him.
He was back few months ago, then had a major setback.
He REJECTED a move to Saudi in the summer, and za ndani, ni kuwa Juventus are sniffing around, but dont think he will move in january.
They are managing fitness ya Bajcetic, he's growing fast, and i think when Klopp akiona kuwa he's ready, aanze tu, Szobo, Grav, Macca, Jones etc will give him good support in the middle.
I want a DM, but club yetu hii unaijua, wakiona Bajectic anafaa, him and Endo will be rotated heavily, and Bajcetic aki-turn out good, we wont buy a DM for a little while.
Ngoja tuone hii january.
🤣🤣🤣🤣Fabby the bald head decided to go play vacation league
YNWA