Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ikifika summer, atakuwa kabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba.

So, either a-sign mkataba mpya au auzwe, Club haiwezi kumruhusu a-run down his contract wakati kuna offer ya £200m mezani.

He will be 32, so any new contract offer, lazima iwe big, because it will be his last big payday, and as i've said, ni ngumu kwa FSG ku-offer mkataba atakaotaka Salah, hence the only viable option iliyopo sasa ni kumuuza.

Yes, anything can happen in football.
Mi nasubiri hilo lolote litokee
No way.

Kama najiona ntavyoangua kilio...hapa tu natype huku machozi yamekaa usoni.
 
Haaaaaaaaaa!!!!

My God, sell him.

Screenshot_20231113_220825.jpg
 
You think its a good thing kwa your only senior RB kusema hivyo?

Klopp was so wrong kumpa U-Vice captain.
Role yake atafutwe pia mtu mwingine wa kurotate naye.
Mtoto wa watu achezaga non stop
Kila mechi yupo amepangwa

Na huwa hafanyiwi sub..anacheza mwanzo mwisho dakika zote.

....
Yeye kutaka kuhamishwa position haihusiani na yeye kupewa ucaptain..
Amepewa kwa sababu alistahili..

Kwahiyo uvice wangempa nani pale?
Salah?🤣
 
Trent, Elliott & Jones ni heavy weed smokers.

Think the weed is starting to take its toll on Trent.

We are slowly losing him.

Asipokuwa makini, atapoteana kama Dele Alli.
Eti heavy weed smokers😂😂, nimecheka
Mtoe Trent wangu🤣🤣🤣
 
KaSalah kalivyo kafupi[emoji23]
Utadhani sio kenyewe huwa kanachinja watu golini
IMG_20231113_230510_782.jpg
 
Trent, Elliott & Jones ni heavy weed smokers.

Think the weed is starting to take its toll on Trent.

We are slowly losing him.

Asipokuwa makini, atapoteana kama Dele Alli.
Unamzungumziaje Jones?ame up his game au nae auzwe??

Vipi kuhusu Fofana wa Monaco?anaeeza kuja kufaa akija?au hafai??
 
Hii miBrentford inakimbia kama mibondia😂
Nina Imani itawakomesha Arse8

Huyu midevu kataka kupita na mguu wa Matip wetu🤣
Hawa Brentford wanajua karate bila shaka
 
Back
Top Bottom