Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mi nasubiri hilo lolote litokeeIkifika summer, atakuwa kabakiza mwaka mmoja kwenye mkataba.
So, either a-sign mkataba mpya au auzwe, Club haiwezi kumruhusu a-run down his contract wakati kuna offer ya £200m mezani.
He will be 32, so any new contract offer, lazima iwe big, because it will be his last big payday, and as i've said, ni ngumu kwa FSG ku-offer mkataba atakaotaka Salah, hence the only viable option iliyopo sasa ni kumuuza.
Yes, anything can happen in football.
No way.
Kama najiona ntavyoangua kilio...hapa tu natype huku machozi yamekaa usoni.