Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Unamzungumziaje Jones?ame up his game au nae auzwe??

Vipi kuhusu Fofana wa Monaco?anaeeza kuja kufaa akija?au hafai??

Jones, is one of our most important CMs kwasasa.

Him, Macca & Szobo ndiyo our best MF combination kwasasa.

Our MFs kwa upande wa 8s (Left & Right 8s ) imekamilika, Szobo/Macca/Jones/Grav/Elliott & (Thiago). we just need a complete & young 6, Endo is a good squad player, and personally i think Bajcetic needs a lot of coaching & time.

We cant sell Jones.

Fofana, we contacted his camp & Monaco, but when chance ya kumsajili Grav ilivyofunguka, we decided to put his file on hold, ni kama kwa Andre tu.

Fofana rejected Forest in the summer, think he was waiting for a big/good offer, and tulikuwa ni moja ya club ambazo zilikuwa intersted, we have never closed his file, but he's not a plan A or B, but he's on our list, kama tukiamua ku-shop for midfielder again, unawajua FSG walivyo.
 

Salah, VVD, Robertson huwa wanakuwa rotated mara chache sana, na kwenye kikosi cha LFC, outfield player mwenye minutes nyingi uwanjani ni Salah.

Alisson & Robertson, mmoja wapo angekuwa Vice Captain.
 
Salah, VVD, Robertson huwa wanakuwa rotated mara chache sana, na kwenye kikosi cha LFC, outfield player mwenye minutes nyingi uwanjani ni Salah.

Alisson & Robertson, mmoja wapo angekuwa Vice Captain.
Ila sijawahi kumuona Trent anapumzika🥺

Hawana sifa za uongozi itakuwa
Dogo ndio Captain wetu after VVD.
 

Our squad planning, huwa inakuwa na gaps sana, huwa hatukamilishi for some weird reasons.

Fabinho was the MAIN asset kwenye eneo la MF, as a club, ndiyo alikuwa anatakiwa kuwa mchezaji wa kwanza kuwa replaced, but we ended up buying a stopgap 6 (siyo mbaya), but tulikuwa tunahitaji a stopgap?

Ninachoshukuru, we bought Szobo, Macca & Grav, atleast inasaidia ku-cover uzumbe uliofanyika kwenye upande wa DM.

Hence, naamini, na NAHISI kama Bajcetic akiiridhisha managerial department (Klopp & Cos), we wont sign a strating 6, and i wont even be suprised.
 
Anapumzika sana tu.

Msimu uliopita, kuna string ya games, ambazo Klopp alikuwa anamuacha bench for Milner.
Ilikuwa ni kwa kumuonea tu aibu Milner
Ila kwa kweli mtoto wa watu na VVD sijawahi ona wanapumzika.


Halafu pia hana majeruhi ya mara kwa mara.
 
Ila sijawahi kumuona Trent anapumzika🥺

Hawana sifa za uongozi itakuwa
Dogo ndio Captain wetu after VVD.

Robertson & Alisson hawana sifa ya uongozi?

Club needed a scouser & England/English citizen kwenye role ya u-captain, VVD (foreigner), kuwa captain, then awe na Vice captains ambao siyo "English", for a traditional club like LFC, SOS & scousers lazima wangeleta manu'nguniko, pia utakuwa unajidanganya kudhani kuwa scousers wote walifurahi VVD kuwa captain.

Alisson, Robertson, Matip, Salah, Thiago etc ni good leaders kulilo Trent. na kwa new guys, Szobo ni good leader kuliko Trent.

Then, Trent siyo "dogo", he's 25, older than Szobo, Konate, Quansah, Macca, Gravenberch, Jones, Elliott, Nunez, Gakpo etc.
 
Salah kiongozi mzuri?
Na anavyonunaga akifanyiwa sub[emoji16],anamnunia hadi Klopp ,, anampa mkono kishingo upande.
Atafundisha nini wenzie?
Hapana.

Matip yupo slow,,kazubaa sana.
Allison apambane tu na majukumu ya kudaka.
Thiago anashinda Hospital ataongoza saa ngapi?
Robo hata muonekano wa uongozi hana.
Wageni akina Sobo hata vibaraza na Mitaa hawajaijua vizuri,wawape uongozi?[emoji23]


Ninaamini Klopp anawajua vizuri hawa vijana na hajakosea kumchagua Trent..
Kwanza ni damu ya Liver.
Kajifunza muda mrefu kutoka kwa Hendo.

Trent for life[emoji3590][emoji3590]
 
Dah, madam kama unavuta bangi Acha mara moja, imekukataa kichwani 😄 🤣 😂
 
Dah, madam kama unavuta bangi Acha mara moja, imekukataa kichwani 😄 🤣 😂
Kweli?😂
Bia zishakolea kichwani..na lile vibe la live band si unajua ngoma zikikolea kichwani 😆
Anyway,ntaacha pombe
.................
Klopp is genius.
Kwahiyo mnabishana na maamuzi ya Klopp?
 
Kweli?😂
Bia zishakolea kichwani..na lile vibe la live band si unajua ngoma zikikolea kichwani 😆
Anyway,ntaacha pombe
.................
Klopp is genius.
Kwahiyo mnabishana na maamuzi ya Klopp?
Pombe usiache 🤣 , ila tumbaku kali acha...
 
Pombe usiache [emoji1787] , ila tumbaku kali acha...
Hiyo ni pombe tu pekeyake
Bangi situmii,hizo ni za kina Ollachuga kule Marasta FC.
Ama wameniambukiza,maana round hii nilikuwa kuwashabikia wapige shyte

Ila tuwe tu wa kweli;
Nani sasa anafit nafasi ya Le super handsome vice Captain Trent?
 
Kabisa i agree its really weird how Liverpool conduct transfers maana tazama wakati tuna Fabinho n crew yake hatukua na progressive MFs kama Domy, Macca lakini wakati tunajiadaa kuteka Ligi sasa kwa kua na kiungo kamilifu FSG haoo wakaafiki bei ya Fabinho kwa faida ya maana tu.. Imagine this season bila Fabinho kusepa kikosi kungekua kime balance kote kote lakini ndio leo hii tupo hapa kikosi kimepwaya kati kwa hatuna traditional DM doing all th dirty work...
Bajectic well nina wasiwasi sana how he can stay fit aisee EPL is so demanding na Klopp system exposes DM most of the time thus having to shed more kms kuliko wachezaji wengine...
Bajectic has evolved kutoka RB kwenda MF aafu akawa thrown to the squad ikiwa raptured man he couldn't survive nakumbuka mechi zake alikua almost MOTM karibia zote he didn't put a wrong foot anywhere nadhani hii ilimpa Klopp some food for thought sokoni ...
Na the more i get to think ni kama hata Caicedo was FSG PR games kutuaminisha wako serious maana its was known boy favored a move to the bridge...

Without a solid HM we might have a problem killing game...

YNWA
 
FSG nilijua ni mzigo pale waliposhindwa kutumia dirisha la kuanzia 2019 kumpa Klopp a generation squad kuteka UCL na EPL wakabakia kutegemea Klopp the miracle worker bure kabisa... Signing 2 injury prone MFs in Keita na Thiago in space of almost 4 years was total failure by any standards aisee... Pale Ethad Txiki Begiristain is working day and night kuhakikisha kikosi kinakua supported in all areas... Its one thing to have a rich owner n another thing to spot pure talent n another thing to turn thing to a winning machine n woooow Pep has installed that mpaka unaona wivu aisee..

Hua nikikumbuka moto wa enzi zile najiuliza tuna wamiliki wa hovyo sana aisee.. Ukicheki sasa hao wachezaji wa kwneye mafaili walivyo bora unajiuliza lini hawa jamaa wataamka
Tazama Jeremy Doku, Jovido, Nunes wa Ethad Klopp spotted those boys long ago lakini the Yankees couldn't react to any yaaaaani
Tazama Enzo wa Chelsea akiwa chini ya 20m usd lakini nothing happened aisee... Na wengine wengiiii sanaaaa

Hivyo hawa wachezaji wa kwenye ma faili hua tatizo sana ku initiate business.

MosDef vipi huku kuhusu Bowen wa Westham nae yupo kwenye faili... Personally i ilke his extra efforts kuhaingaika uwanjani aisee typical Klopp kind of player..

YNWA
 
This season is very open anyone between City, Liver or Arsenal can win a league.
Kama wiki 3 nyuma nilisema tukifika January.. Tupo 1-3 points apart na Kipara (Man City) ...basi itakuwa game on mpaka May ..

Tuombe after international break tuweze kupata draw at Etihad ..

Tukifanikiwa ...tutakuwa vizuri sana ..
Arsenal najua yupo...ila wasiwasi upo kwa kipara tuu
 
This season is very open anyone between City, Liver or Arsenal can win a league.
Well can't say otherwise.... Tupate tiba pale kati kuua hatari za mashambulizi na tupo salama...
Kipi kimetokea kwamba tunarejea kileleni cha ubora au Manchester City wamepungua ubora wao au ligi kwa ujumla ushindani umeimarika.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…