Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
π π Klopp ana mafaili ya ma kinda wote wakali wakali aisee yaaaaani ishu ma bosi wake pasua sanaaaHv klopp amesha onesha nia yoyote ya kumsajili kinda la Napoli khvicha kvaratskhelia?
Cc Saint Anne π π πKuna jitu Kali kama Simba π¦ likiwa Uruguay linaitwa NUNEZ ni katili sana pande hizo linaongoza kikosi kazi.
Tatzo lipo kwa klopp kuamini 433 ndio mfumo pekee bora zaidi [emoji23]Kuna jitu Kali kama Simba [emoji881] likiwa Uruguay linaitwa NUNEZ ni katili sana pande hizo linaongoza kikosi kazi.
Sijabahatika kuiona mechi yao juzi. Labda nisaidiwe; hivi Uruguay inatumia mfumo gani ambao unamu-accomadate Nunez?Tatzo lipo kwa klopp kuamini 433 ndio mfumo pekee bora zaidi [emoji23]
Sijabahatika kuiona mechi yao juzi. Labda nisaidiwe; hivi Uruguay inatumia mfumo gani ambao unamu-accomadate Nunez?Tatzo lipo kwa klopp kuamini 433 ndio mfumo pekee bora zaidi [emoji23]
Nunez the Great π
4-2-3-1 katikati Kuna watu wagumu wawili Valverde na UgarteSijabahatika kuiona mechi yao juzi. Labda nisaidiwe; hivi Uruguay inatumia mfumo gani ambao unamu-accomadate Nunez?
Marcelo Alberto Bielsa Calder ndio jibu sahihi...Sijabahatika kuiona mechi yao juzi. Labda nisaidiwe; hivi Uruguay inatumia mfumo gani ambao unamu-accomadate Nunez?
π π π Wewe tena.Nunez the Great π
Mimi sina mashaka na uwezo wake timu ya taifa..
Hata Mwaka jana walikiwasha sana yeye na Suarez.
Sema wanangu mlikaza miguu mabwege nyie [emoji1787]
Mkiendelea hivi mwakani mtapanda top5.
Sasahivi pambaneni matopeni.
Nunez ni mwambaπ₯π₯π₯π π π Wewe tena.
Salah kakiwasha katupia nne huko.
YNWA
Namna vijanq wanaupiga mwingi sana kimataifa hapa ni kuombea warejee salama klabuni bila majeruhiNiliona kitambo
Nikataka niweke picha ila nikaona msije sema namsujudia Salah kuliko Liverpool π€£
Hi channel ya Whatsapp ya Liverpool ni wabaguzi.Namna vijanq wanaupiga mwingi sana kimataifa hapa ni kuombea warejee salama klabuni bila majeruhi
View attachment 2818150
π₯ π₯ π₯ π₯
YNWA
Kumbe bado wana huyu Babu.......Jamaa wataibuka na World Cup, milijua eomdokaMarcelo Alberto Bielsa Calder ndio jibu sahihi...
Kawapiga Brazil na sasa Argentina.
Huyu hana mfumo mmoja kama Klopp yeye hutazama kila mechi kwa mahitaji yake... Mifumo yake yote hua ina kasi kali pale kati kuwavuruga wapinzani wake na ndio kilichowakuta Argentina hawakuweza kupanga chochote cha maana kuwapiku ile game...
YNWA
Babu yupo sana pale na wanajivunia sana uwepo wake uzuri bhana wa Uruguay ni wavumilivu sana kablabya kumpata huyu Marcelo mwalimu wa timu ya taifa walikua na Oscar Tabalez aliedumu nafasi hio kwa miaka 15 hivyo utaona pale Mzee wa tik tak amefika aisee yupo sana na ni perfect fit kabisa kwa sababu babu ni muumin wa hard working players hatakagi lazy bones... Anapenda robust intelligent players na kwa pale Uruguay ndio penyewe kabisaaaKumbe bado wana huyu Babu.......Jamaa wataibuka na World Cup, milijua eomdoka
Mechi ipi hii ya jana au ambayo kwenye pita pita zangu inalalamikiwa kua mechi ya hovyo sana tangu ticha South achukue mikoba.
Sishangai utakua wewe ndio Admin wa hio group ππππππHi channel ya Whatsapp ya Liverpool ni wabaguzi.
Wamempost Salah na Diaz tu.
Sijamuona Nunez,,
Ama taarifa bado wanaiandaa?
Mi sijui alicheza wapiMechi ipi hii ya jana au ambayo kwenye pita pita zangu inalalamikiwa kua mechi ya hovyo sana tangu ticha South achukue mikoba.
Alicheza wapi RB au MF
YNWA