Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatzo lipo kwa klopp kuamini 433 ndio mfumo pekee bora zaidi [emoji23]
Sijabahatika kuiona mechi yao juzi. Labda nisaidiwe; hivi Uruguay inatumia mfumo gani ambao unamu-accomadate Nunez?
 
Marcelo Alberto Bielsa Calder ndio jibu sahihi...
Kawapiga Brazil na sasa Argentina.
Huyu hana mfumo mmoja kama Klopp yeye hutazama kila mechi kwa mahitaji yake... Mifumo yake yote hua ina kasi kali pale kati kuwavuruga wapinzani wake na ndio kilichowakuta Argentina hawakuweza kupanga chochote cha maana kuwapiku ile game...

YNWA
 
Niliona kitambo
Nikataka niweke picha ila nikaona msije sema namsujudia Salah kuliko Liverpool 🤣
Namna vijanq wanaupiga mwingi sana kimataifa hapa ni kuombea warejee salama klabuni bila majeruhi

Screenshot_20231118_202742_org.telegram.messenger~2.jpg

🔥 🔥 🔥 🔥

YNWA
 
Attachments

  • Screenshot_20231118-203808.jpg
    Screenshot_20231118-203808.jpg
    126.6 KB · Views: 4
Marcelo Alberto Bielsa Calder ndio jibu sahihi...
Kawapiga Brazil na sasa Argentina.
Huyu hana mfumo mmoja kama Klopp yeye hutazama kila mechi kwa mahitaji yake... Mifumo yake yote hua ina kasi kali pale kati kuwavuruga wapinzani wake na ndio kilichowakuta Argentina hawakuweza kupanga chochote cha maana kuwapiku ile game...

YNWA
Kumbe bado wana huyu Babu.......Jamaa wataibuka na World Cup, milijua eomdoka
 
Babu yupo sana pale na wanajivunia sana uwepo wake uzuri bhana wa Uruguay ni wavumilivu sana kablabya kumpata huyu Marcelo mwalimu wa timu ya taifa walikua na Oscar Tabalez aliedumu nafasi hio kwa miaka 15 hivyo utaona pale Mzee wa tik tak amefika aisee yupo sana na ni perfect fit kabisa kwa sababu babu ni muumin wa hard working players hatakagi lazy bones... Anapenda robust intelligent players na kwa pale Uruguay ndio penyewe kabisaaa

YNWA
 
Back
Top Bottom