Picha watu washaweka humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana, mjue mie namuonea huruma[emoji38]basi tu
Juzi kamekosa kakagonga kichwa mara mbili, huruma ikaniingia[emoji1787]
Kwahiyo asiwekwe tena benchi na asizomewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunez, ni victim wa his own price tag, kama angenunuliwa for £30-40m, watu wangekuwa na patience, but tunadhani he's a world beater kwasababu ya his price tag.
Ngwaba, you're a football man, you're so good at judging players, sidhani kama uliangalia game ya Brighton na kuona his overall play, na bado uka-question ubora wake, he's improving every game, Nunez wa msimu uliopita siyo wa msimu huu, kuna a LOT of improvements.
Give him time, again he's 22.
Hapa miss Liverpool atapita kimya kimya wala haoni...Goli alilofunga vs Argentina my prayer to him, apate utulivu wa akili hiyo hiyo mpka mwisho wa carrier yake. That is absolutely what we need to see him does it.
Nunez will hit 25 G/A across all competition atafikisha
Muone kule 😂😂Hapa miss Liverpool atapita kimya kimya wala haoni...
YNWA
Mm naww tupo kwenye stuation moja Na ninahc bora ww yupo hata mmoja na wadogo zako wengine tumepoteza wazazi kitambo na hata mdogo mmoja sina na hata kujitafuta labda nitajipata nikiwa kaburini[emoji24][emoji24][emoji24]Presha inachukua mtu muda ambao hamkutarajia[emoji24]
Mungu atamvusha tu,ni kipindi kigumu ila
Heri yake amepoteza mzazi muda ambao alishajipata kitambo.
Wengine tumepoteza mzazi muda ambao bado tunamtegemea na hatujajipata.
....
All in all
I know that God can do all things; and his purpose can't be thwarted.
Job 42:2
Read Chapter
Nunez anawenge sana, huyo anatakiwa apigwe bench tu hamna namna.Goli alilofunga vs Argentina my prayer to him, apate utulivu wa akili hiyo hiyo mpka mwisho wa carrier yake. That is absolutely what we need to see him does it.
Nunez will hit 25 G/A across all competition atafikisha
Tatizo DM anahitajika mtu mwnye cazy chafu haswa ajue kulinda backline of which Trent is poor in defensive hasa kwny mfumo wa liver DM anatakiwa awe anajua kukaba haswaHili kosi nimelielewa, hapa TAA hapa Szoboszlai hapa Ryan [emoji39][emoji39]View attachment 2819751
Pole MkuuMm naww tupo kwenye stuation moja Na ninahc bora ww yupo hata mmoja na wadogo zako wengine tumepoteza wazazi kitambo na hata mdogo mmoja sina na hata kujitafuta labda nitajipata nikiwa kaburini[emoji24][emoji24][emoji24]
Unasema aje sasa Jumamosi itakua Halaand vs Nunez au Halaand vs Salah..Muone kule 😂😂
Nikitaka nishangae usinitaje🤣🤣🤣🤣
Si ni mimi hapa juzi nilisema Uruguay ilivyotoka nililia😂😂
Yaani kiujumla timu zote ambazo wachezaji wetu walikuwepo niliziunga mkono.. hadi kombe la Dunia inaisha tupo na akina Konate wanakufa kiume... Wewe ulikuwa msaliti kuwa upande wa Argentina wafuga ngombe sijui kondoo sijui ndo walima pamba mi sijui histori nilifeli🤣🤣🤣akina Messi
Jibu tayari unaloUnasema aje sasa Jumamosi itakua Halaand vs Nunez au Halaand vs Salah..
YNWA
Mpaka sasa Klopp hajui kumtumia Nunez nimesha ona, anatakiwa atafute mfumo hata 4231View attachment 2821732
Darwin Nunez scored twice to guide Uruguay to a 3-0 victory over Bolivia in a World Cup qualifier.
Asante sana japo nikawaida tu no way outPole Mkuu
Mungu atakudaidia.
Usijinenee maneno mabaya
Mfumo ubadilike kwa mchezaji mmoja?Mpaka sasa Klopp hajui kumtumia Nunez nimesha ona, anatakiwa atafute mfumo hata 4231
Hapana cheza na Babu Marcelo.... Huyu sasa ndio size ya dogo apate tip za kutosha akitua kwa Klopp anamaliza kazi mapema.Jibu tayari unalo
Usimlinganishe Salah na vitu vya ajabu😆