You don’t know soccerMpaka sasa Klopp hajui kumtumia Nunez nimesha ona, anatakiwa atafute mfumo hata 4231
Nunez is a time bomb muda wowote italipuka.You don’t know soccer
Zile Miss zote ni sign kwamba kocha kamjulia ndio Maana anapata chances za kufunga
Nunes na Suarez wana story inayofanana
Missing lots of chances
SijaelewaNunez is a time bomb muda wowote italipuka.
Its a matter of when....
YNWA
Captain Marvelous omba kazi hizoajiraFirst Team Defensive Organisational Analyst - APFA
Wigan Athletic Football Club is looking to recruit a First Team Defensive Organisation Analyst to Liaise with the First Team Manager and Coaching Staff toapfa.io
Hizi ni stori ambazo Bobby anapenda😆😂You don’t know soccer
Zile Miss zote ni sign kwamba kocha kamjulia ndio Maana anapata chances za kufunga
Nunes na Suarez wana story inayofanana
Missing lots of chances but they end up coming good
My Miss Liverpool 🤣🤣naona umenitupia pande la nguvu sana hapa...Captain Marvelous omba kazi hizo
Dada Yako mara mojamoja niwe nakuja mambele kusafisha macho😂
🤣🤣🤣🤣Ingekua hata kugonga mwamba kuna pointi mpaka sasa Nunez kashatupa Ubingwa wa EPL msimu huu..Hizi ni stori ambazo Bobby anapenda😆😂
Kikubwa tuende tu mambele 😂My Miss Liverpool 🤣🤣naona umenitupia pande la nguvu sana hapa...
Hawa Wigan bhana kuna kipindi walikua wild card aka bogey team ya ligi yaan ukikutana nao unachezea tu kichapo miaka hiooo ndio kama Brighton ya leo... Things have changed hata EPL wameisahau..
YNWA
Not really... Time bomb= Kuwalipukia ma defenders mpaka waombe po ndugu...Sijaelewa
Time bomb kwamba hafai au anafaa?
Wewe mbele kama UK nakuona ukimsaka dogo Trent alipo 🤣🤣🤣🤣Kikubwa tuende tu mambele 😂
Ama unasema aje Bobby
Wewe Mafuriko hayajakuchosha?
Huo ndio muda mwingi dogo pale Benfica waliutumia aisee na alikua fire sanaaaa...Mpaka sasa Klopp hajui kumtumia Nunez nimesha ona, anatakiwa atafute mfumo hata 4231
WalaaaaaWewe mbele kama UK nakuona ukimsaka dogo Trent alipo 🤣🤣🤣🤣
YNWA
🤣 🤣 🤣 Unasepa kwa Milner ama🙃Walaaaaa
Trent namuwezea wapi mie
🤣 🤣 🤣 Klopp muoga sana yaan amchezeshe Nunez lone 9 dhubutu... Lakin Klopp hapa angemzima mapema Kipara akose pa kutokea kwa kua pale kati pako crowded...Klopp angeenda na hii first eleven kwenye game ya City au mnasemaje?View attachment 2822696
Kuna mda klopp aache uoga, awe wa kujaribu mfumo.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Klopp muoga sana yaan amchezeshe Nunez lone 9 dhubutu... Lakin Klopp hapa angemzima mapema Kipara akose pa kutokea kwa kua pale kati pako crowded...
Utamshangaa sasa kuona Macca ndio anacheza DM [emoji1787][emoji1787] hapo sasa Kipara atatuchana laivu maana Rodri vs Macca is no match for Macca.
YNWA
Kwenda huko🤣🤣 🤣 🤣 Unasepa kwa Milner ama🙃
YNWA
🤣 🤣 🤣 Sasa kumbe na Henderson hayupo UK sasa hakuna namna Babu Milner atasaidia.Kwenda huko🤣
Klopp hua hapangiwi anachokiamini yeye atasimama nacho hivyo hivyo.. Aliweza kusimama na Henderson, Ox, Keita, Milner wote hao akitonywa kabisa na mashabiki, ma pundits nk kwamba sio elite level lakini hakusikia akaweka pamba masikioni. Huyo ndio Klopp mpaka pale alipokosa UCL akaona ohooo kumbe kweli nina MF mbutu kabisa haina msaada kwenda mbele ipo ipo tu.Kuna mda klopp aache uoga, awe wa kujaribu mfumo.