Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
ππππππ€£ π€£ π€£ Sasa kumbe na Henderson hayupo UK sasa hakuna namna Babu Milner atasaidia.
YNWA
Soon na Trent utamtupa hukooo kama Matipππππππ
Hebu kwanza omba hiyo kazi tuendelee mambele
Kuhusu Trent Def atanipa connection nikishafika
Nampenda tu bila sababuSoon na Trent utamtupa hukooo kama Matipπ
YNWA
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Ndotoni crush wako Nunez ujue ebu kumbuka ndoto za leo uone niaje.Nampenda tu bila sababu
My all time crush
We ushindweππ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Ndotoni crush wako Nunez ujue ebu kumbuka ndoto za leo uone niaje.
π₯
YNWA
Miss Liverpool hand in hand with the tatoo man hahahahaWe ushindweπ
Hawa watoto sijui nani aliwaambia kujichora ndio ustaaMiss Liverpool hand in hand with the tatoo man hahahaha
YNWA
π€£ π€£ π€£ Street ghetto boys.. Wana code zao hao... From scratch climbing to the topπ₯π₯π₯Hawa watoto sijui nani aliwaambia kujichora ndio ustaa
Yaani mtu anajichora mwili mzimaπ€£ π€£ π€£ Street ghetto boys.. Wana code zao hao... From scratch climbing to the topπ₯π₯π₯
Hizo tattoo zao si urembo wengi zina maana.
YNWA
Ndio vibe zao aisee... As long as they bring the goals am okay kabisa.Yaani mtu anajichora mwili mzima
Kufuru hizo
Mkuu hututakii mema kabisa.Klopp angeenda na hii first eleven kwenye game ya City au mnasemaje?View attachment 2822696
Trent ni changamoto aiseeKlopp angeenda na hii first eleven kwenye game ya City au mnasemaje?View attachment 2822696
Trent asianze hii gameMkuu hututakii mema kabisa.
Huyo TAA akakutane na RODRY na BENARDO hahaha.
Mechi kati ya KLOPP na PEP huwa haina Ramli mzee kaa utulie muda ufike.Kwa ukabaji wa Liverpool wa high line na kukabia macho, kukosekana Kwa natural 6, Leo lazima wadhalilishwe Etihad