Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Helooo Ethad.... Here comes Trent.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi mliyotutuma tumeimaliza[emoji23]Nimewakubali majogoo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1666]
Unamshindwa sitee afu unataka ubingwa 😭😭😭Labda top foo ya kuvuta bangi 😂
Sisi ndio mabingwa utake usitake
Kwani nyie leo mumemufunga🤣🤣🤣🤣.
Endelea Kuishi kwa Matumaini Mimi Liverpool unifananishe na hiyo Chelsea yako ya Pochentino aliyekuwa na kila kitu pale PSG na bado akashindwa kufikia malengo Ivi Mngemfunga City Iñgekuwaje? maana mmepagawa na Sare Pathetic
ivi hapa mashabiki wanamaanisha nini kwa trent na hivyo vidole?
Newcastle anawasalimia huko [emoji23][emoji23]Kwani nyie leo mumemufunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My guess itakua labda "tumeshachukua" EPL 2 baada ya nyie kupata ile mojaaa 🙃🤔...ivi hapa mashabiki wanamaanisha nini kwa trent na hivyo vidole?
Kwani nyie leo mumemufunga🤣🤣🤣🤣
labda, naona hapo hadi kuna dogo kaonyesha dole la katiMy guess itakua labda "tumeshachukua" EPL 2 baada ya nyie kupata ile mojaaa 🙃🤔...
YNWA
Wahuni hao🤣🤣🤣.....labda, naona hapo hadi kuna dogo kaonyesha dole la kati
Akili mtu wanguLeo Jeremy Doku alikuwa akikutana na Matip anadunda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila duh Ake na Haaland wali combine kirahisi mno lile goli.. Matip badala amfuate Haaland anaweweseka tu...Akili mtu wangu
Kwani nyie mlishinda?Unamshindwa sitee afu unataka ubingwa [emoji24][emoji24][emoji24]
Trent ni mwambaTupo
Hata maboya huwa wanafunga
Trent is not a good defender na anatucost sana
Good day kwake leo…. With maturity yake apewe mido au right wing back itasaidia
Or else klopp atafute a very strong left sided cb
Huyu ni Liverpool kufa na kuzikanaReal Madrid walete tu ela yupo sokoni hakuna mchezaji asiekua na bei aisee...
YNWA