Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Kazi mliyotutuma tumeimaliza[emoji23]Nimewakubali majogoo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1666]
Unamshindwa sitee afu unataka ubingwa πππLabda top foo ya kuvuta bangi π
Sisi ndio mabingwa utake usitake
Kwani nyie leo mumemufungaπ€£π€£π€£π€£.
Endelea Kuishi kwa Matumaini Mimi Liverpool unifananishe na hiyo Chelsea yako ya Pochentino aliyekuwa na kila kitu pale PSG na bado akashindwa kufikia malengo Ivi Mngemfunga City IΓ±gekuwaje? maana mmepagawa na Sare Pathetic
ivi hapa mashabiki wanamaanisha nini kwa trent na hivyo vidole?
Newcastle anawasalimia huko [emoji23][emoji23]Kwani nyie leo mumemufunga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My guess itakua labda "tumeshachukua" EPL 2 baada ya nyie kupata ile mojaaa ππ€...ivi hapa mashabiki wanamaanisha nini kwa trent na hivyo vidole?
Kwani nyie leo mumemufungaπ€£π€£π€£π€£
labda, naona hapo hadi kuna dogo kaonyesha dole la katiMy guess itakua labda "tumeshachukua" EPL 2 baada ya nyie kupata ile mojaaa ππ€...
YNWA
Wahuni haoπ€£π€£π€£.....labda, naona hapo hadi kuna dogo kaonyesha dole la kati
Akili mtu wanguLeo Jeremy Doku alikuwa akikutana na Matip anadunda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila duh Ake na Haaland wali combine kirahisi mno lile goli.. Matip badala amfuate Haaland anaweweseka tu...Akili mtu wangu
Kwani nyie mlishinda?Unamshindwa sitee afu unataka ubingwa [emoji24][emoji24][emoji24]
Trent ni mwambaTupo
Hata maboya huwa wanafunga
Trent is not a good defender na anatucost sana
Good day kwake leoβ¦. With maturity yake apewe mido au right wing back itasaidia
Or else klopp atafute a very strong left sided cb
Huyu ni Liverpool kufa na kuzikanaReal Madrid walete tu ela yupo sokoni hakuna mchezaji asiekua na bei aisee...
YNWA