Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787]Bila Jones tusingepata goli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jones anastahili ucaptain
[emoji1787][emoji1787]Jones ni mkombozi wetu
Bila kumsahau Bachelor llHivi wakuu hawa wapo wapi kitambo sana hawajaonekana hapa jamvini.
Don njinji
Bengalisis
koncho77
Plesis
AggerFirminho
M-mbabe
Penison
Watery
SG8
Ziroseventytwo
Don Clericuzio
BARDIZBAH
Ed n Edd nEddy
Janja weed
kengele maziwa
Nk nk nk.
Popote mlipo Mungu awatunze mrejee jamvini salama Anfield pamenoga sana mdogo mdogo Klopp 2nd cycle imeanza kuonyesha nuru.
YNWA
Jones kama mwalimu wa MatheJones piga kazi baba tunakukubali saana
Mijini hii ya kina HaalandHivi nini kifanyike kila kukicha wachezaji ni kama wanazidi kua cry babies... Na wakiongozwa na Manchester City na Manchester United yaani ka ishu kadogo hao wanalazmisha refa atoe kadi ama penati huku ikiwa ni wao wenye kosa wanaishia kulalamika balaa hii ishu hata Roy Keane alishaisemea sana sana lakin naona kila kukicha ni kama inakua worse... Jana kuna block alicheza Matip ajabu eti wachezaji karibu wanne wa Manchester City wakawa wanataka penati...
This is absurd na disgrace kabisa tunakoelekea.
YNWA
Hivi Don mwaka huu hana ofa ya jezi?Hivi wakuu hawa wapo wapi kitambo sana hawajaonekana hapa jamvini.
Don njinji
Bengalisis
koncho77
Plesis
AggerFirminho
M-mbabe
Penison
Watery
SG8
Ziroseventytwo
Don Clericuzio
BARDIZBAH
Ed n Edd nEddy
Janja weed
kengele maziwa
Nk nk nk.
Popote mlipo Mungu awatunze mrejee jamvini salama Anfield pamenoga sana mdogo mdogo Klopp 2nd cycle imeanza kuonyesha nuru.
YNWA
🤣 🤣 🤣 Aibu sana aisee Gary Nevile na Roy Keane na Carragher wanakemea sana huu "utoto" maana haiwezekani kabisa kutafutiana kadi na penati za michongo hivi hivi...Mijini hii ya kina Haaland
Kama mtoto,,yashazoea mambo ya dezo😂
Watalia sana na kusaga meno
Lile jini likidondoka kidogo tu lishakuwa jekundu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Aibu sana aisee Gary Nevile na Roy Keane na Carragher wanakemea sana huu "utoto" maana haiwezekani kabisa kutafutiana kadi na penati za michongo hivi hivi...
Sijui kama ni maelekezo ya walimu wao ama namna gani.. Buts its pathetic kuona tena senior players wakitaka huruma ya refa ili wapate maamuzi kuegemea kwao
YNWA