Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila ndio alifunga goli na tukapata draw ambayo ulikuwa unatamani tupate pale Etihad

Yes, he scored an important goal.

Was it a charity goal? NO.

He's getting paid more than £150k p/w, that is 400m tanzania shilling kwa week, zaidi ya Tanzania shillings billion moja na nusu kwa mwezi (before taxes).

He's not doing a charity work at LFC, his job is to deliver uwanjani.
 
Lol so zile bla bla za Carlo ana gentle man agreement na Samba team ilikua unproven gossip.

Nimeona hio kazi ya Samba boys hata Mourhno anatajwatajwa

YNWA

Nimeona news leo, kuwa Perez is readying a new contract for him.

So, it depends na offer ya Brazil, kama Perez asipo meet offer ya Brazil, Carlo anaweza ku-opt for Brazil.
 

Last season, suala la Trent ku-invert lilifanya kazi to an extent, because we had Fabinho, na kama unakumbuka Fabinho alirudi kidogo kwenye his form, ingawa siyo kwa ubora wake ule ule, but he had good 10-12 last games, na ndiyo maana it was easy for Trent to invert.

But now we have Macca, yeye mwenyewe huwa ana-struggle kusettle at 6 kwenye baadhi ya game, so Trent ku-invert inakuwa mzigo.

Becker atakuwa ame-tweak his hammy, sasa itategemea ni grade ipi, could be 2-3 weeks, or 4-8 weeks, au ikawa ni nothing serious kabisa, tusubirie tu update za club.
 

Nafikiri January tupate DM (our higher priority currently) Tukipata Quality DM hata kelele za RB & CB zitapungua.

Kwa Klopp niseme mpaka yamfike shingoni haswa aone imekuwa ngumu, ndio afanye changes. Aliyoyafanya msimu huu alipaswa kufanya even before end if the last season.
 

Ujue lile goli bana utamu wake upo hapa;

Kwanza tumetoka kufanya save ya maana sana ambayo pengine bila beckor kufanya yake mechi ingeishia pale pale. Lakini la pili ni Gravernberch alivyo dribble kutoka karibu na 18 yard yetu akaenda akampita World class 6 currently Rodri kwa utamu flani hivi. Kisha akapokea Diaz akaendeleza ya Gravernberch huku TAA akielekea goli kutoka kwenye kosa kosa ile. Diaz akatoa pasi hivi kwa Taa ila ikawa ndedu Salah akauwahi.

Kuna mkimbuo aliufanya Gakpo na ndio ulitoa Room kubwa kwa TAA kuliona goli vizuri kiasi cha kuchambua apige wapi, Salah akaweka njiani Gakpo ka run kuwafungua City na kutoa Room kwa TAA, Taa akaupokea first touch then 2nd shot BOOM.!!

[emoji3060][emoji3060]

Ubora kwenye MF msimu huu umetupa point moja Etihad, japo hatujawa bora sana bila ya Mpira.

One DM and Possible CB january then we are ready to battle until May
 
Jones shouldnt have started that game.

Of course too much Confidence over what he has. Gravenberch proved it Jones shouldnt have started

Endo could easily play better as an Anchor (his primary role) then Macca as a deep lying playmaker.
 

Agreed with you.

Klopp kabla ya msimu kuanza niliona interview yake akisema, atatumia high pressing where it due, low block where it due. He wants different team, differences systems.

We need quality DM January ili tupate balance, depth and quality kwenye MF. Kwa sasa twende toe to toe na City 1-3 point different is an ideal on either side.

2nd we need best of Nunez kufunga tap ins, then we will be dangerous enough offensively.
 
Kama atakuwa nje for sometime.

Itakuwa ni kitendawili.

Kelleher is struggling sana na his form.

And, then we have Mr. San Miguel.

Dark times.

If i were Klopp i will choose Marcelo Pitaluga as 3rd GK.

Kelleher Form sio nzuri. But you cant blame him less game time and mostly hachezi na Solid teammates. But he is good to cover Beckor over Honorable Miguel.
 

Beckor he foot work rate is not good. Ederson jumamosi kuna muda alikuwa kama extra defender. Ile left foot aisee inapiga clean long passes zenye madhara sana.
 
Kwa Spurs kweli umenikumbusha aisee
 
Mimi huwa nawashangaa akina Van Djik wanamrudishia mpira wakati wanajua tatizo lake
 
Nimeona news leo, kuwa Perez is readying a new contract for him.

So, it depends na offer ya Brazil, kama Perez asipo meet offer ya Brazil, Carlo anaweza ku-opt for Brazil.
Babu Carlo for Brazil would be perfect match kabisa mzee hanaga mambo mengi ni getting the basics right...
How he has tuned Jude is just wonderful to the extent dogo ana deliver since he has the freedom in the field, wakat mwingine ni kua brave to let the boys express themselves.

YNWA
 
Mimi huwa nawashangaa akina Van Djik wanamrudishia mpira wakati wanajua tatizo lake
Bwana bwana hii kitu tena vs Manchester City washajua Allison footwork is poor under pressure hivyo wenyewe hua wanasimama in the channels na utaona Allison huyooo anatoa assist kwa Foden nk nk...

YNWA
 
Duh Jones back pass might have be the cause here sioni sababu nyingine hapa... Allison pale aliji stretch to the maximum.

Kelleher nimemuona mechi kadhaa sijaona akijiamini kabisa dogo na hapa mpaka January pana mechi zisisopungua 6 hivyo tuna mtihani mkubwa pale.

Kama FSG hawatoi ela kwa ajili ya DM then huyu Trent acheze tu double pivot na Macca hakuna namna maana akili yake imehama kabisa kutoka RB kwenda MF..

At least gemu ya City dogo Macca didn't put a wrong foot tukaumia this time alijitahidi sana hopefully he continue with that trend...

YNWA
 
Kinachonifurahisha ni namna hawa madogo wapya walivyojichanganya haraka kwenye timu.
Unaweza dhani wamekaa muda mrefu kwenye kikosi, kumbe hata mwaka hawana.


Hebu mpe Trent maua yake
Si uliona chuma kile,,dogo anafungiaga mbali,mashuti ya kuua mtu🔥🔥🔥🔥
Kuna mtu angekuwa ndo yeye pale angekosa,simtaji😆
 
Oh basi tukiwa tunamsema Nuniez Kwa kukosa msitulaumu
Maana tunamlipa ili akafunge magoli,yeye anaenda kuyapaisha nje yote.
 
nyota ya kuongelewa about your weaknesses? (for the past 6-7 years), must be nice.
Nyota za assist kama zote
Ni mpiga kona mzuri

Wewe tatizo unaangalia madhaifu yake tu.
Huna tofauti na sisi tunaoangalia madhaifu ya Nunez.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…