Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Na mara nyingi our weak link inakuwaga our right side, ndio maana huwa nafurahishwa ikipigwa double pivot ya macca na szobo maana anaenda kumkabia dogo upande wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo hapa namshangilia mkombozi wetu JonesBila kumsahau Bachelor ll
Jones huwa Ana jukumu maalumu uwanjani kutazama mpira anao mchezaji ganJones kama mwalimu wa Mathe
Vipanga tu ndo wanaomuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda anavyomuamini JonesKlopp mwamba
Tulikubaliana in Klopp we believe
Baada ya kufanikiwa kudanganya ulimwengu kuwa yeye ni professor wa mpira Eric Ten hag alipandishwa cheo huko UJASUSINI kwa kufanikiwa kuficha identity yake na sasa anaendelea na majukumu yake ya kuifilisi Manchester United polepoleHata 7Hag walisema ni professor wa mpira
Kocha wa makocha
7hag the great
We were compact. Kitu kilinifurahisha zaidi mechi ya juzi, Ni jinsi pep alitaka kuutumia upande wa TAA kupenyeza mashambulizi akijua TAA ni dhaifu, TAA na Klopp walilijua hili, hivyo Szobo akapelekwa upande ule kwa sababubya work rate yake, baade TAA hakua akipanda sana ili asipate taabu kukabliana na Doku. Baada ya Doku kuonesha madhara hafifu tofauti na matarajio ya Pep ikabidi Bernado apande juu wakiwa na Doku ili wampiga 2v1 TAA,nayo haiku work to that extent Szobo akasogea chini zaidi Matip akasogea kulia zaidi my upande Chini alipungua Bernado.
Taa alijiandaa sana kuelekea mechi ile, alikuwa na high concentration sana, plus uwanja ulibanwa zile space tunazoziachaga zikapunguzwa.
Ubishi tu wa Klopp angewaondoa kina Keita, Ox, Mikner & Henderson mapeeeeema tungekuwa na 2-3 EPL & 2 CL probably under him.
Ynwa
Richarlson hushangilia hivi mara nyingi tu, labda sheria ianze kwa Trent.
Hapo huwa ina boa kwa moment kama ile mmeanza kuhesabu ushindi,
Nyota nyotaaaaa babu weeeh
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wengine nyota ya kunguni akina sijui Curtis
Sijui Quansah
Sijui mikasi
Trent sasa🔥
Jina la kishua 🔥
Trent Alexander Arnold Schwarzenegger the great
Future captain
Father of LFC
Lovable one🔥🔥
Alonso the New Sheriff in town tayari timu kadhaa zinamtupia jicho aisee.
YNWA
Trent ni staa wa dunia nzimaQuansah bado hata haja-break kwenye first team, atapata tu deal kubwa.
Curtis Jones ana mkataba mnono tu na Adidas.
Tsimikas ana mkataba mnono tu na Adidas.
Trent amepata deal kubwa kwasababu, Adidas had to take him kutoka under Armour, so ni lazima dau lingekuwa presentable.
He's PL & CL winner, plays for one of the 2 biggest clubs in England, Vice Captain, and English international, so ana good value ya market, and anawa-join Jude & Pedri kwaajili ya new marketing year.
But, suala la kuwa Trent ka-sign a £26m deal, ni chumvi hizi, Salah deal lake na Adidas ni £3m nadhani, last time i checked shoe deal ya Messi ilikuwa ni £18m, but you never know na mpira wa sasa, maana deal ya Haaland na Nike ni £20m, but is Trent more famous and valuable than Haaland right now?. i dont know.
But, all in all hongera sana, Adidas hawakupi deal kubwa kama siyo Star, he's a star now.
Ila ndio alifunga goli na tukapata draw ambayo ulikuwa unatamani tupate pale EtihadHe got dribbled (past) SEVEN (7) times kwenye game ya City.
A record kwenye msimu huu mpaka sasa.
Well, he scored a goal.
So, muda wa narratives.
Sometimes the so called invert do works sometimes its fails.. On Sunday it's like Pep thought we will play th so called hybrid RB cum MF for Trent n Doku would have owned Trent big time... Well Trent at least he managed to cool down the Doku guy hakutuumiza with his dangerous runs...We got pumped 4-1 at Etihad msimu uliopita, because ya haya mambo ya Trent ku-invert.
On saturday, we managed to stay within our shape, because Trent played his traditional RB role the whole game.
Hiyo shape hapo it means Trent will sit as a lone CDM.
Suicide.
This Samba boys are fast healers hivyo atarejea tu...Kama atakuwa nje for sometime.
Itakuwa ni kitendawili.
Kelleher is struggling sana na his form.
And, then we have Mr. San Miguel.
Dark times.
Lol so zile bla bla za Carlo ana gentle man agreement na Samba team ilikua unproven gossip.Carlo is getting a 2-year extension at Madrid.
Think bado ana miaka kadhaa at Bayer.
Kuhusu trent naungana na wewe mara nyingi huwa sifurahishwi na performances zake akiwa fb au kwenye inverted roles ana lack basics nyingi za defending as well as mid player he must thank God he is british player
Trent ni staa wa dunia nzima
Na nyota pia inambeba.
Ana nyota ya kuongelewa na anamg'aa sana.