Which player you think is best to replace Fabinho. ..?
Well, it depends na status ya mchezaji ambaye Club itamuhitaji kwa sasa;
1. Ready made
2. Potential.
See, personally kama Club itaamua ku-shop na kuangalia zaidi upande wa potential (age bracket ya 18,19, 20), naona itakuwa bora zaidi kama tuki-stick na Bajcetic tu.
Suala la narratives kwenye mpira, ni kubwa sana, kama LFC wangefanikiwa kupata signature ya Palhinha in the summer (FSG refused to sanction a 60m deal for a 28 year-old DM), nadhani suala la fans kulalamika kuhusu new DM lisingekuwepo na wangekuwa tayari kumpa nafasi ya kukua zaidi Bajcetic.
Tofauti kati ya Endo na Palhinha ni kuwa, the later angekuwa ni STARTER at LFC (PL & EL), Endo hasnt been a bad signing, but he struggles na physical nature ya league, it will take him time to adopt, which is a bad thing kwasababu he's 31, hence kwasasa ni mzuri zaidi kwenye upande wa EL and league cups, but kama tungekuwa tumemsajili Palhinha ingekuwa rahisi kwa Bajcetic ku-bed in kwenye team taratibu, and be a starter in 2 years.
Sasa, kama club inaona hakuna haja ya kusajili a ready made DM, nadhani Bajcetic anatosha kabisa kupata na kupewa na Club, hawa youngsters wengi ambao tupo linked, they are not any better than Bajcetic.
I can name a lot of kids, but namba ya my favorite kids ipo so limited, kulingana na aina ya uchezaji wa LFC, and where the whole modern game is heading.
FABINHO REPLACEMENTS.
Interms of potential;
Bajcetic is my namba one pick, but kwa wengine ni;
Gabriel Mascardo
Lucien Agoume
Joris Chotard
Gustavo Puerta
Archie Gray.
These are my top 5 picks (aside from Bajcetic).
Interms of ready made DMs.
1. Martin Zubimendi
2. Lucas Gourna-Douath (Well he's only 21, but I've watched him a lot, profiled him a lot, he's ready)
3. Boubacar Kamara (injuries zinaweza kuwa tatizo, but ni perfect fit).
4. Amadou Onana (I doubt Everton will sell him to us, but he's a perfect Fabinho replacement).
5. Cheick Doucoure (Well, he's out for 6 months, we can rule him out, but he a fantastic and very underrated DM, Crystal Palace wanting 80m for him in the last minutes, ilitufanya ku-walk away).
Well, Mats Wieffer, is decent, but i am not that solid on him, i have started to follow him closely, so lets see.
But my top 5 picks (ready made);
1. Martin Zubimendi
2. Lucas Gourna-Douath
3. Boubacar Kamara
4. Amadou Onana
5. Cheick Doucoure (if he wasnt injured).