MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Bwana am just tired of this boy forcing th so called MF spot apangwe popote atakapoona Klopp atamwamini pia Southgate atakua mwenye furaha maana mara kadhaa amekwama kumpa dogo nafasi sababu hamwamini kucheza RB huku James au Walker au Trppier nk wakae benchi sasa Trent ifahamike tu mapema kwa kua kuzuuia sasa anabahatisha bora apangwe anapoona ndio mahala sasa...
YNWA
Ukimpanga Trent in the middle, unakuwa unatupa nafasi/minutes za Gravenberch, Curtis Jones, Elliott and even Szobo, because kutakuwa na big changes za shapes/formations.
So dhumuni la kununua players aina ya Grav, Szobo inakuwa ni nini? kama tunataka kuleta sentiments?