Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Ukimpanga Trent in the middle, unakuwa unatupa nafasi/minutes za Gravenberch, Curtis Jones, Elliott and even Szobo, because kutakuwa na big changes za shapes/formations.

So dhumuni la kununua players aina ya Grav, Szobo inakuwa ni nini? kama tunataka kuleta sentiments?
 
Jones his play pale angecut in nyuma ya rodri, Grave. Chosen ku run mbele ya Rodri na ku cut in, kumuweka Rodri nyuma yake.

Kwani Jones pace yake sio kubwa compare kwa Gravern. Matter of time Gravern will surpass Jones in the team soon.

Jones anatakiwa ku-limit/control his extra touch trait.

He has no pace, but anaweza ku-cover hiyo weakness na one-touch & pass football.
 
Mbappe asipoangalia ataishia huko huko ligue one

We are exploring the financial possibilities, but nadhani itakuwa ni tough deal, siyo kwenye upande wa purchasing fee, but katika upande wa Wages.

But, i can attest kuwa, his first choice club kwa England soil & PL ni Liverpool, but it remains to be seen kama tunaweza kwenda toe to toe na other giants wa England kwenye wage-package, kama akiamua kuja PL.

But, i think he still ends up at Madrid.
 
Man umeona dogo Elliott of late anavyofosi kupewa dakika starting berth kwa nguvu kama zoteee... Him operating upande wa Trent at this pace will make that area compact assisting Trent defence duties same time akipenyeza mipira kwa Salah.. Huyu sasa Elliott tuliemuona Fulham.

My only concern kwa dogo Trent ni defending aisee this boy ameshajuliwa na ukitazama hata injuries na kadi za right side defence hazichezi mbali kwa kua wanakua over worked kumsaidia bwa mdogo... Tazama Konate na Matip hua wanapishana wodini pia tazama kadi kwao pia tazama magoli yanakotokea.. Hii ishu isipokua sorted aidha kwa kulet Fabinho mpya like for like pale kati kati tutaedelea kuteseka aisee... If you ask honestly i would rather have Trent in MF than him in defence maana he can't sort his defence instinct kabisaaa... Amejitahidi sana lakin ana limits..

Grave well dalili ni kwamba soon he will be unstoppable kwa 1st team.. Akipata DM wa nguvu hapa na ball carrier, space opener kama mechi ya Ethad.. We aint yet there but at least pale kati we are one signing away to be complete..

YNWA
 
Do this journalist think Liverpool will go for Mbappe or have any intention ?

Wala hatupo kwa Mbappe, nashangaa articles zikituhusisha na Mbappe

We are interested.

Klopp has been a fan since he was 16/17, and as a club and Klopp we have a mutual relationship with him and his family.

we tried in 2016/17, but got out-musculed na PSG (financial package).

Interest, haijawahi kufa.
 
Dah Mkuu [emoji1787][emoji1787]
Kwa mara ya kwanza nakuona unacheka[emoji23].


Allison ni golikipa bora mwenye viwango...vipi asingepewa airtime,angefika alipo?

Huyu Kaleher apewe hata mechi za Europa ,,zitatosha kukuza kipaji chake.

Mbona alidaka fainali dhidi ya Chelsea...mechi iliyokuwa moto wa kupotea mbali,na tukashinda vizuri tu.
Mi naona naye ni mzuri tu..

Kwani haiwezekani kuweka rotation?
 
Diaz - Nunez - Salah, my pick.

but, Diaz - Gakpo - Salah, will be fine pia.
Gakpo anajua goli lilipo aisee. Ki kweli rarely soko la January hua linatufelisha..
Diaz Gakpo Salah will be fine...

Diaz Nunez Salah any day of the week

YNWA
 
🤣 🤣 🤣 Allison the bearded King of saves...

Sometimes if i were to vote best signing by Klopp am tempted to vote forAllison maana i can't count how many times he has saved our skin aisee tazama tu mechi yetu pale Ethad he stood his ground, he wouldn't be bullied kirahisi...

Best Goolie out there. His footwork under pressure ndio only weakness ninayojua tu.

YNWA
 
Rotation 🤣🤣🤣🤣labda kwa mickey cups tu.

YNWA
 
Elliott has improved a LOT, one of our biggest asset kwenye squad yetu kwasasa, so moving Trent in the middle (kama mnavyotaka) ita-affect his development, kitu ambacho Kimemchukua muda mrefu sana kukitengeneza.

You shouldnt be worried about his defensive problems, unatakiwa ushangae why hajitumi ku-improve, hapa kwasasa tunaongelea suala la Elliott kui-improve his game, sasa kwanini isiwe kwa Trent? and why tunatafuta excuses kwa Trent tu?

Grav is a FORCE, only 21, unaona anavyojituma uwanjani, anavyocheza kwaajili ya badge, then mnataka, Vice captain ambaye "hapendi" ku-defend akachukue nafasi yake kwenye midfield.

And, what makes you think Trent can be a good midfielder?
 

Greatest LFC GOAL-KEEPER of all time.

Personally, Klopp's best 5 signings are;

1. Virgil Van Djik
2. Alisson Becker
3. Mohamed Salah
4. Fabinho Tavarez

At 5, any of Mane, Robertson & Gini can take it.
 
🤣 🤣 Honestly his assist n shooting capabilities and th fact that why he started his trade in MF...

Hapo umenena vyema sana why not the effort to improve huku some of the best in the game kama Gary Nevile akirudia mara kwa mara kwamba he has all the qualities to become the best RB out there design kama Daniel Alves.. Gary Nevile knows the game ana akisema Trent should take notes..

By the way he is disposable kwangu if there is no improvement kabisa hakuna haja ya kua na mzigo.. If I was for VVD asepe zake last season na msimu huu amerejea kivingine kabisa lots of impressive improvements why not so called vice captain... He ain't immune at all to be sold...

YNWA
 

Kelleher hata apewe nafasi kubwa kiasi gani hawezi kuwa kama Alisson.

Ni same na useme, Doak akipewa nafasi kubwa anaweza kuwa kama Salah.

Wachezaji wanatofautian growth, stature, ceiling and potential.

Potential ina levels (mid & high (mad))na huwa inaonekana at a young age, mfano at LFC unaona mad potentials walizonazo Bajcetic & Quansah, but growth, ceiling & stature ndiyo itaamua kama watakuwa world class or just "decent* player.

Kelleher, potential yake ni ya kati, so ceiling haiwezi kuwa kubwa, hata kama.atakuwa na good growth and stable management.

GKs kama Alisson ni once in a life-time.

he's 31, hiyo ni peak age kwa GK.
 
Greatest LFC GOAL-KEEPER of all time.

Personally, Klopp's best 5 signings are;

1. Virgil Van Djik
2. Alisson Becker
3. Mohamed Salah
4. Fabinho Tavarez

At 5, any of Mane, Robertson & Gini can take it.
My Top 7 Klopp signing as of now
1)Allison
2)VVD
3) Salah
4) Fabinho
5) Gini
6) Robbo
7) Mane.


YNWA
 
Umejuaje kuwa hata akipewa muda bado hataweza kuwa kama Allison?
Ama unaenda kwa assumptions.
 

Kwenye MF, unatakiwa unatakiwa uwe na a good amount of defensive actions.

Kama tu, at RB huwa anakuwa shati mara kwa mara, how can he be comfortable at;

1. Defending transitions kwenye MF?
2. Dendefing Counters?
3. Show up for Interceptions, tackles?
4. Defending/winning aerial and most impotantly ground duels?
5. Recycling possesion?
6. Enciurage ball retention?
7. Encourage press resistance?

be a good progressor ni nothing kama your defensive actions are low.
 
My Top 7 Klopp signing as of now
1)Allison
2)VVD
3) Salah
4) Fabinho
5) Gini
6) Robbo
7) Mane.


YNWA

Forgot Matip, i think ni most underrated signing ambayo Klopp ameifanya at LFC.

Think, Virgil, Alisson & Fabinho signings are the MOST important, because they transformed us to a higher level.

People, were laughing at that time, and they are still laughing now, because he's struggling at Chelsea, BUT Moises Caicedo under Jurgen Klopp, angekuwa ni ANIMAL, ile signing ingetufanya kuwa instant title challengers, hence Klopp mwenyewe alikuwa tayari kutoa 110m for Moises.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…